Sivan nikuambie tu kitu kimoja. Hutaona mafanikio Kama utakuwa mtu wa kugusa na kuacha...nadhan unajua( namaanisha )Nini...!
Humu jf katika watu niliowapambania we ni no 1! Lakini husomeki..unakatisha tamaa. Thou sikusimangi)...Ila Bora nikuambie ukweli ..utakusaidia mbeleni ukiamua kuufata
Moro ndugu yangu pagumu...hapana mzunguko wa pesa. ..papo papo tu..Ila ukipata kaupenyo hela ipo ..nadhan pagumu Kwasababu wknd weng wanaenda Dar. ..
Wee sijui unafeli wapi na huku huna majukumu...!wenzako familia zinatufanya turudi nyuma kila mara
Basi nenda huko Mafinga wanakopasua mbao..kajifunze biashara ya mbao..au toa vimbao vyako 100porini kauze hapo mjini kila ubao hukosi 500/- unakwama wapi dogo?...Kule kazi ni nzito..au ..Chukua zaga zaga Kama saa za Bei fulan za Kati perfume za kupima .headphone za Bei rahis .shades nzuri za wakaka na wadada. .boxer nzuri Raba tamu
Acha kung,'ang'ania kuishi mjini...nenda kajitupe huko usome mchezo na usichague kazi. Wenzako mjini tunarudi kupooza akili ! Be you !
Nenda Hadi viwanda vya chai nenda na vitu vzri zuri. Kuna dogo nilinunua kwake saa nikamwambia usiishie mjini nenda huko..mbona ananishukuru daily!( Najua utaniambia sisy nitaendaje huko Mimi Sina mwenyej) ndo shida yako hii had nakosaga la kukujibu ..toka mjini dogo!
Kama utaenda Mafinga nitakusaidia ulale bure for 7dys! I wish utoke kwenye kifungo hicho Cha kukomalia kukaa mjini....
Kubali kupigwa jua..kubali maisha ya dhiki....kubali Hali yoyote..!
Natamani kukufinya sikio uamke!..