Mnipe mishe za kuingiza kipato Morogoro

Mnipe mishe za kuingiza kipato Morogoro

We
Dah...ngoja nisiandike Sana ...Ila dogo habebeki..kinda tired!..mpe mchongo masasi aende mkuu. Mie niliwah mchorea mchori wooote. Akasema sasa Kule Nan atakua mwenyej wangu? Akasema ngoja nijifikirie .later akaja na proposal nyingine nikasupport nilipoweza .haizid mwezi anakuja Tena na proposal nyingine..anakata tamaa Sana hakuna njia rahisu
Hii ungempigia simu ukamueleza.
Kuandika hapa haiko poa kabisa.
 
Net inamsumbua balaa .nakuchek
Net inamsumbua balaa .nakuchek
We
Dah...ngoja nisiandike Sana ...Ila dogo habebeki..kinda tired!..mpe mchongo masasi aende mkuu. Mie niliwah mchorea mchori wooote. Akasema sasa Kule Nan atakua mwenyej wangu? Akasema ngoja nijifikirie .later akaja na proposal nyingine nikasupport nilipoweza .haizid mwezi anakuja Tena na proposal nyingine..anakata tamaa Sana hakuna njia rahisu
Mhhhhhh.....
 
Binafsi Aya mambo ya kuwapa michongo Hawa vijana wa daslam nlishaachaga.

Kuna kijana mmoja alkua kamaliza digrii hapo mlimani.
Jobless miaka 4, Kanililia wee nimpe mchongo.

Ikabd nimuunganishe kwa jamaa angu mmoja Yuko moro- ifakara

Jamaa akakubali kifungua branch ya biashara Yake eneo moja linaitwa Mbingu ili kijana asimamie ile biashara kwa miaka 5.

Biashara ikishakua, yy anafungua tawi jingine sehem nyingn ile inabak kua Mali yake.

Jamaa kajitolea kumkodia frem, fenicha zote na mzgo wa kuanzia akagharamia .

Huwez amini,
Kijana alidumu pale Miezi 4 TU.

Sababu anazotoa eti eneo lile wateja hamna.

Eti anamtaka boss ule mtaji akamfungulie dar.

afu eneo lile mtandao halishiki 4G anashindwa kuwasilian na ndugu na marafk zake walioko insta na wasap.

Jamaa angu kapata hasara,
ikabid arudishe frem, na zile fenicha auze kufidia hasara.

Chumba alichompangishia kimefungwa TU hadi leo.

Kijana karud daslam

Nkifikiria,
Inatia hasira Sana Kiukweli
 
Kuna watu kwenye hii thread ni wanafiki sana ni mabingwa wa kujisifu wanasaidia watu kumbe si lolote si chochote.
Dogo, ebu usibadilishe msaada kuwa lazima.
Kusaidia ni utashi wa kila mtu mmoja mmoja.
Usipende sana kuomba mtoto wa kiume, na ili usaidiwe lazima ujiweke kwenye nafasi ya kuonekana kweli mwenye uhitaji.
 
Binafsi Aya mambo ya kuwapa michongo Hawa vijana wa daslam nlishaachaga.

Kuna kijana mmoja alkua kamaliza digrii hapo mlimani.
Jobless miaka 4, Kanililia wee nimpe mchongo.

Ikabd nimuunganishe kwa jamaa angu mmoja Yuko moro- ifakara

Jamaa akakubali kifungua branch ya biashara Yake eneo moja linaitwa Mbingu ili kijana asimamie ile biashara kwa miaka 5.

Biashara ikishakua, yy anafungua tawi jingine sehem nyingn ile inabak kua Mali yake.

Jamaa kajitolea kumkodia frem, fenicha zote na mzgo wa kuanzia akagharamia .

Huwez amini,
Kijana alidumu pale Miezi 4 TU.

Sababu anazotoa eti eneo lile wateja hamna.

Eti anamtaka boss ule mtaji akamfungulie dar.

afu eneo lile mtandao halishiki 4G anashindwa kuwasilian na ndugu na marafk zake walioko insta na wasap.

Jamaa angu kapata hasara,
ikabid arudishe frem, na zile fenicha auze kufidia hasara.

Chumba alichompangishia kimefungwa TU hadi leo.

Kijana karud daslam

Nkifikiria,
Inatia hasira Sana Kiukweli
Huitaji kumpa mtaji na mafremu mtu wa Dar kama mimi ukimpa Geto tu hapo mjini mwanza then kitachoendelea ndani ya miezi 8 utaandika kwenye vitabu.

Be hamble faza.
 
Hhaahahaha...no comment..!unajua mambo mengine ngoja tukae tu kimya..ulisema kidgo wanaibuka Wana😷! But honestly inakatisha tamaa
 
Dogo, ebu usibadilishe msaada kuwa lazima.
Kusaidia ni utashi wa kila mtu mmoja mmoja.
Usipende sana kuomba mtoto wa kiume, na ili usaidiwe lazima ujiweke kwenye nafasi ya kuonekana kweli mwenye uhitaji.
Ni Ile ishu ikeee. ..yaan kila ikiibuka nakukumbukakaga wewe. Aisee kaka unaangaliaga mbali sanaaa. Au una macho ya rohoni🤭😷
 
Huitaji kumpa mtaji na mafremu mtu wa Dar kama mimi ukimpa Geto tu hapo mjini mwanza then kitachoendelea ndani ya miezi 8 utaandika kwenye vitabu.

Be hamble faza.
Unatakiwa kumalizia kwanza hiyo michongo alokuelekeza dada manengelo.

Inaonekana wee Ni wale wale wasokua na Moyo wa uvumilivu.

Unataka Mambo yaende simpo simpo Kama ulivoota ndotoni.

Kamwe,
Huwez kufanikiwa kupapasa papasa sana biznes tofauti tofauti.

Ukishika shikilia kweli kweli.
 
Nop
We mpe mchongo mkuu...!
 
Dogo, ebu usibadilishe msaada kuwa lazima.
Kusaidia ni utashi wa kila mtu mmoja mmoja.
Usipende sana kuomba mtoto wa kiume, na ili usaidiwe lazima ujiweke kwenye nafasi ya kuonekana kweli mwenye uhitaji.
Ngoja tuone kama huu mwaka utaisha vizuri kwako na kwa dadako
Haya maneno yahifadhi.
 
Back
Top Bottom