Msaada tutani, nina gari yangu aina ya Noah sr40 je nije/niende mkoa gani nikafanyie kazi ya kubeba angalau abiria?

karume msaka

JF-Expert Member
Sep 25, 2018
385
689
Habari ndugu zangu!

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nipo hapa mbele yenu kuomba ushauri kutokana na Hali iliyopo ya kimaisha kwa sasa nimeona niitumie gari yangu aina ya NOAH Ili kujiingizia kipato.
Lakini sifahamu nianzie wapi na niishie wapi hivyo naomba ndugu zangu kutokana na umbali/utofauti wa mikoa tunapotoka naombeni mnipe madili ili nije nipambane familia isilale njaa

Gari ina Hali nzuri na inafika mkoa wowote hapa tanzania.!
Kwa mwenye kunipa dili anaweza liweka hapa hadharani ama hata kunifuata inbox kwa maelekezo zaidi

Natanguliza shukrani.
Screenshot_20231127-080408.jpg
 
Jiandae kupakiza abiria waliobeba kuku, mbuzi na bata, baada ya mwaka ni mkweche. Mikoani hawatumii noah mpya mpya, bali kuukuu na nyingi ni manual sio automatic.

Kila la kheri Tanzania kubwa, watakuja wazururaji humu wakupe muongozo zaidi.
 
Habari ndugu zangu!

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nipo hapa mbele yenu kuomba ushauri kutokana na Hali iliyopo ya kimaisha kwa sasa nimeona niitumie gari yangu aina ya NOAH Ili kujiingizia kipato.
Lakini sifahamu nianzie wapi na niishie wapi hivyo naomba ndugu zangu kutokana na umbali/utofauti wa mikoa tunapotoka naombeni mnipe madili ili nije nipambane familia isilale njaa

Gari ina Hali nzuri na inafika mkoa wowote hapa tanzania.!
Kwa mwenye kunipa dili anaweza liweka hapa hadharani ama hata kunifuata inbox kwa maelekezo zaidi

Natanguliza shukrani.View attachment 2826354
Gari yako Bado ipo yard mbona haina plate number!??
 
Nzega au Kahama
 
Yaah....japo ushindani ni mkubwa pande hzo + kujuana....ila ukiwa mpambanaji ukawapata wenyeji wazuri unafanya kazi vzuri.

Ila root ndefu kama Nzega, Kahama, Shinyanga Nzega, Tabora Shinyanga.... Mara nyingi haice ndo hupiga hizo safari..

Kila la kheri mkuu
Kila la kheri kwani mimi ndie nimekuambia naanza ruti?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom