Mnipe mishe za kuingiza kipato Morogoro

Mnipe mishe za kuingiza kipato Morogoro

Hahah ntakuweka kwny maombi.

Nilivyoona amekuja na hii 'nanhii' mpya nikajua atakua amebadilika ki-mtizamo/harakati ila naona bado mtizamo ni ule ule kama alipokua anatumia ile 'nanhii' ya zamani.

Akaze tu,hakuna kitu rahisi.

Amekusoma....!..atabadilika naamini...nahisi anapotezwa na miluzi mingi (maybe!)
 
Duu huu uzi sijaupenda Moderator bora mukaufuta.

Umegeuka personal attck.
 
Sivan Morogoro sio mji wa biashara ni mji ambao kama ulivoelezwa na Wangari upo upo, maana now hata mchele wa morogoro Dar hauuziki sababu bei yake ni kubwa watu wako radhi wafuate mchele Runzewe na sio Morogoro,

Hee...hata mchele hauuziki dar ..duh ..bas hatari zaidi...ndo maana mie napotega vby mno nikirudi wote unawaonea huruma wanyongeeeeeeeee😀😀!
Moro akili ya ziada inahitajika...mtu anahangaika kulima hoho anakuja kuuza roba kwa 20k/-..;hapana aisee!
 
😂😂😂mkuu usichukulie kitu personal

Usiogope watu wanavokupiga majungu hiyo ni kawaida kwenye maisha

Hata ukijenga ghorofa km lile la BOT wapo wadau watakuongelea negative!

Hahhaa Sivan hujapigwa personal attack...nasema hizi sio mbona ..siku nitakuja kukuambia yangu utabaki unashangaa ..unaweza hisi unaish na wanga original..lakini kiuhalisia wanakushape mbaya Sana. Bora upigwe hizi na watu Baki Kama sisi .lakini sio ndugu au wazaz au mke au mume. ..sijui unaelewa..unapigwa za uso na mzaz wako😀😀..unafanyiwa figisu na sisy ako .anakuja kumaliza mwenzako iwe mke au mume. Hebu SEMA wapi inaumiza zaidi!
Mtu unaumizwa had unahis una mikosi...lakini tulia soma ramani yako vzr Anza kuunga dots ..mie Leo hii nampelekea dingi asome documents ananiambia Safi...kazana pambana..lakini ni huyo huyo alikua ananiambia huez biashara wewe...uko weak Sana hujachangamka ..umeolewa n blah blah kibao ..hata wewe haya yakufanye upate nguvu . Binafsi mie mtu akinivunja moyo napenda zaidi nimprove wrong hata usingiz unakata ..narudia Tena na Tena kusoma diary yangu na kuongeza hints nzuri nzuri na asbh ukiamka unazifanyia kazi..mie toka corona sijafanya kazi coz of corona n family staffs...lakini NAISHI nnavyotaka ..simtegemei mtu ingawa nachitaka bado sijakipata per se...! Lakini Nilichora ramani na ninatembelea kwenye lane...
 
sina cha kuongeza

Nkiongeza ntaharibu
 
Hee...hata mchele hauuziki dar ..duh ..bas hatari zaidi...ndo maana mie napotega vby mno nikirudi wote unawaonea huruma wanyongeeeeeeeee!
Moro akili ya ziada inahitajika...mtu anahangaika kulima hoho anakuja kuuza roba kwa 20k/-..;hapana aisee!

Soko la mchele Dar, Mtwara, Lindi na Zanzibar linataka mchele wa kanda ya ziwa ambao uko na bei ya chini sana hivo ukiingia sokoni morogoro unaangushwa maana upo juu
 
Apart from Bei ya juu..mchele wa Moro na ifakara ni mbingu na ardhi
 
Back
Top Bottom