​Mhhh weee Dada Mwanne !!! kaa Jini vile, jamani umechushaa Lo!!!!! Mtoto wa kiislamu pepo utaiona kweli kwa hali kama hiyo??? Naona Jahazi limekuharibu!!!
Kwa kweli, wasichana huwa wazuri lakini wanavyochibua huwa wanajiaribu huo ni mfano tu wa wengi wao, utakuta sura umekunyamana kama mzee, jamani badilikeni
hata kama mzuka umekupanda ukikutana naye kitandani lazima ukimbie....au ndo wale tuliokuwa tunasimuliwa utotoni kuwa unaenda na demu geto mpo kitandani unataka kuamka ukazime taa yeye ananyoosha mkono kutoka kitandani mpaka kwenye swichi
Angepunguza unga aliojipaka usoni na kufunika kifua angeongeza idadi ya wanaomheshimu. Angalia wengi wanamalizia comment kwa huyu wa kwanza kulia na wenzake ambao wamejisitiri hawaguswe maana yake wametunza heshima yao.