mnh mwanamke make up eeh?!

mnh mwanamke make up eeh?!

Waimbaji+wa+Jahazi+Modern+Taarabu+wakiwa+wamepozi+kabla+ya+shoo.JPG



Hawa ni waimbaji wa taarabu, Jahazi Modern. Huyu wa kwanza ndo simwelewi kabisa, hata akiniita nadhani ntamkimbia!
Duh! inaonekana amegemua!
 
Wanapitiliza sasa!!!and why are they doing all these!!!!!????ili iweje??
 
Hapa unatumia carolite na beterdem unakua fresh
 
Hawa wanashughulikia nyuso tu, wakivua utakimbia! Vyumba wanavyolala uvundo mtupu!
 
Duu nadhani kwao hawana vioo. wangejiona wangejidharau. upuuuzi mtupu. tupa kule.
 
Tehe tehe.uzuri wa mkakasi....women looks nice from FAR but actually they are far from NICE.......hapo muulize akuoneshe japo GAGULO TU!!!!!!!!!!
 
Waimbaji wengi wa taarab huwa wanajikosea sana kwenye makeup,
wanajaribu kuwaiga waarabu kuweka heavy make up,lakini wenzao wanawekwa na martist,sasa ona huyu dada uzuri Mungu aliompa kauharibu wote.Lipstick za aina mbili ???!!
 
wanawake wa leo kaaaaaaazi kweli kweli. hakuna anayetaka kudumisha asili yake bali kujichubua tupu na kujilinganisha na watu wengine i.e wazungu

Mambo mengine tunawasingizia wazungu tu, huyo dada anafanana na mzungu wapi hapo?
 
Waimbaji+wa+Jahazi+Modern+Taarabu+wakiwa+wamepozi+kabla+ya+shoo.JPG



Hawa ni waimbaji wa taarabu, Jahazi Modern. Huyu wa kwanza ndo simwelewi kabisa, hata akiniita nadhani ntamkimbia!

Yu yu yu yu jamani huyo wa kushoto ni dudu la kutishia watoto wasiopenda kuoga nini?shabash!q!!!!!!
 
Back
Top Bottom