Jestina
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,828
- 1,715
- Thread starter
- #41
Nina imani kabisa jamaa yake angemwambia "Tangulia mimi nitakukuta huko kuna kazi namalizia hapa".....lol
hahahah wale wanaolalamika waume zao ni watu wasiopenda kuongozana nao,inabidi wajichunguze upya inawezekana hii ni mojawapo ya sababu lol