mnh mwanamke make up eeh?!

mnh mwanamke make up eeh?!

Na hao mashoga zake nao wanaongea nae wanamtazama usoni hata hawamshtui mwenzao lo!
 
Huyu hizo nido anawezaje kutembea? na akiwa kwenye majambozi inakuwaje sasa maana dah! kama zamu ya kunyonyesha Shule vile

katika yale mambo yetu ukikosea ukapeleka pua hapo kifuani lazima ufe kwa suffocation!
 
mh hiyo ni kali...! sijawahi ona asee yani niko na machizi hapa wanasema anaonekana kama shetani aseee duuuuh
 
Waimbaji+wa+Jahazi+Modern+Taarabu+wakiwa+wamepozi+kabla+ya+shoo.JPG



Hawa ni waimbaji wa taarabu, Jahazi Modern. Huyu wa kwanza ndo simwelewi kabisa, hata akiniita nadhani ntamkimbia!
Anisamehe tu kama nitamkwaza, ila anafanana na kinyago
 
Hao kazi yao ndiyo hiyo. Wawezeshaji wapo yeye ni kutumia. Unaweza kumulinganisha na akina karume kenge unapiga teka kuanzia asubuhi mpaka jioni hujaona hata 200. Nzishe type hao!
 
Huu utani sasa.... Hadi mwanamke mwenzao wajisikia vibaya ukiwa karibu yao....
 
Wamependeza... lol

Eee kweli wanawake mna ujunga sawasawa na akili zenu. Ndo mana uharibifu unawafuatilia maisha yenu yote! Hivi unadhani ni kwanini ndoa za leo hazidumu? Sikuzote nyumba hujengwa na mwanamke, na ndomana mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.

Mnaweka hizo takataka zenu usoni na kichwani makatani!!! Ili wanaume wawe majaji? Nawaelewa nyie sana tu tena kwa kuwasoma tabia. Kwa kawaida mwanamke yoyote yule akivaa vizuri na kukatiza mbele ya wanawake wenzie, humwangalia kwa kijicho na hata kumsonya eidha kwa sauti au kimoyomoyo. Lengo lenu na kusifiwa na wamnaume na ndomana, mwanamke yeyote yule asiposifiwa wala kuitwa njiani, na wakati kavaa vizuri basi jioni ya siku hiyo kioo kitaulizwa maswali mengi sana( hivi mimi nina ubaya gani?, inamana sipendezi?,nimekosa nini mimi?).

Tuju kwenye point. Hata huyo mwanaume atakayekupenda, atakuwa kufanya ivyo sababu ya katani zenu mnazowekaga kichwani pamoja na ivyo mnavyopaka usoni. Mwanaume anakuwa anaujua uzuri wako wa kwanza kukuona na kuuweka moyoni na ndio anajiskia kukutongoza. Tatizo linakuja kuwa sio siku zote utakuwa ivyo na siku usipoweka katani na masizi usoni ndipo anaanza kukuona sivyo alivyokusudia. Anaanza kuona alikosea. Nakwambia atakuacha tu. Utake usitake utaachwa tu. Endeleeni na hiyo tabia, na wewe utakuwa wa kwanza kuthibitisha kuwa kwanini ndo za leo hazidumu.
Jiulize basi
1. Kwanini ndoa za wasanii hazidumu?
2. Kwanini wanawake wadogo na maziwa yamelala?
3. Kwanini matatizo ya matumbo hayawaishi, ukiachilia mbali edhi?
4. Kwanini wanawake katika ndoa huchoka haraka kuiko wanaume?
Mkishindwa kujibu haya aswali mniulize mimi.

Mwanamke Nutural hair, natural skin, na ndio ambao ndoa zao zinadumu.
 
Huu utani sasa.... Hadi mwanamke mwenzao wajisikia vibaya ukiwa karibu yao....


Hata kama wangejipodoa vizuri. Sikuzote wanawake hujiskia vibaya pale wazidiwapo na wenzao.....wivu tu. Nani aliwaambia kuwa kwa kuweka katani kichwani na masizi mdomoni na machoni ndio kivutio cha kupendwa? Fanya research utaamini nikikwaambia kuwa shedo mnayopaka inatengenezwa kwa placenta+harufu za maua ili muipende. Yani mnapaka placenta ya wanawake wenzenu!!! Na bado mnaenda kuwalisha waume zenu!!! Na ndo mnaanza kujisifu kuwa ete "nilimpa wet kiss nikwambie shosti wangu" Endeleeni tu.
 
huyo dada cheusi mangala kapaka make up ya mtu mweupe kwann jamani ..............wadada wengine wanaboa sa ingine mana wanataka kupaka vitu hata kama haviendani na ngozi zao au ndio UGAGA
 
Duuuu! Anatisha jamani. Sijui nani katuambia wanawake kujikandika vipodozi ndo urembo. Ni mrembo lakini hayo marangi aliyopaka anaonekana kama kinyago.
 
Back
Top Bottom