Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Ila twende mbele turudi nyuma aisee hizo make up huyo bibie ukikutana naye gizani usiku waweza kutoka ndukii
Hahahaha utoke nduki kwako mwenyewe unakimbilia wapi?
Ila twende mbele turudi nyuma aisee hizo make up huyo bibie ukikutana naye gizani usiku waweza kutoka ndukii
Nina imani kabisa jamaa yake angemwambia "Tangulia mimi nitakukuta huko kuna kazi namalizia hapa".....lolmie hao wengine hawajanishtua kama huyo wa kwanza kushoto,naona alipania sana...nimependa alivyo creative ila tu amezidisha kiasi lol,hivi kama huyo ndio mkeo unamuona hivyo kabla hamjatoka utakuwa na courage ya kumwambia hajapendeza au utauchuna tu,lol waume zetu wana kazi.....hapo ukimwambia hajapendeza inawezekana ikawa ugomvi mkubwa sana LOLS.
Halafu mmeona kifua hicho lakini? Matikiti maji ya haja hayo.
Hayajafikia ya Isha Mashauzi...lolHalafu mmeona kifua hicho lakini? Matikiti maji ya haja hayo.
Halafu mmeona kifua hicho lakini? Matikiti maji ya haja hayo.
Hayajafikia ya Isha Mashauzi...lol
Huyu anahitaji XXXLMi nimeona tu hiyo bra sijui inataka kumtoroka!
Mwenyewe anajua kapendeza. Muhimu ni self confidence bwana. lolGeez louise! Really?
Duh!!
Sasa huko ndio kupendeza ama?
Hahahahahahaha!!! Boss una balaa wewe...lolmi najiuliza wadada wanaopenda marangi rangi hivi
ukienda nae,ukamvua nguo si utakuta
chupi kijani kibichi,sidiria rangi ya binzari????lol
Halafu nasikia sana sana watu wa Zenji ndio huwa wanapenda make up za dizaini hiyo maana waimba taarab asilimia kubwa wanatokea ZenjiHapo mchuano mkali arifu