mnh mwanamke make up eeh?!

Hata kama wangejipodoa vizuri. Sikuzote wanawake hujiskia vibaya pale wazidiwapo na wenzao.....wivu tu. Nani aliwaambia kuwa kwa kuweka katani kichwani na masizi mdomoni na machoni ndio kivutio cha kupendwa? Fanya research utaamini nikikwaambia kuwa shedo mnayopaka inatengenezwa kwa placenta+harufu za maua ili muipende. Yani mnapaka
placenta ya wanawake wenzenu!!! Na
bado mnaenda kuwalisha waume zenu!!! Na
ndo mnaanza kujisifu kuwa ete "nilimpa wet
kiss nikwambie shosti wangu" Endeleeni tu.[/
QUOTE]

Presha yote hiyo ya nini we si utafute huyo natural,halafu wengine waache kwa sababu hawakuhusu,kuweka make up kuko,kulikuwepo na kutaendelea kuwepo na si kutaka kwako wewe.
 
Hata kama wangejipodoa vizuri. Sikuzote wanawake hujiskia vibaya pale wazidiwapo na wenzao.....wivu tu. Nani aliwaambia kuwa kwa kuweka katani kichwani na masizi mdomoni na machoni ndio kivutio cha
kupendwa? Fanya research utaamini
nikikwaambia kuwa shedo mnayopaka
inatengenezwa kwa placenta+harufu za
maua ili muipende. Yani mnapaka
placenta ya wanawake wenzenu!!! Na
bado mnaenda kuwalisha waume zenu!!! Na
ndo mnaanza kujisifu kuwa ete "nilimpa wet
kiss nikwambie shosti wangu" Endeleeni tu.[/
QUOTE]


Ha ha wakwako ndio anapaka masizi nini for lipstik,pole sana una haki ya kulipuka he he
 
hivi wakitoka jasho halafu hayo marangi yakachanganyika inakuwajeje?
duu kama ni nkeo waweza toka nduki ya laana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom