mnh mwanamke make up eeh?!

@neema
nimekupa picha yangu kwa wema kabisa
kumbe umekuja kunianika jf?
 
Waimbaji+wa+Jahazi+Modern+Taarabu+wakiwa+wamepozi+kabla+ya+shoo.JPG
​Mhhh weee Dada Mwanne !!! kaa Jini vile, jamani umechushaa Lo!!!!! Mtoto wa kiislamu pepo utaiona kweli kwa hali kama hiyo??? Naona Jahazi limekuharibu!!!
 
ila mchanganyiko wa rangi kwa huyo shostito kushoto unanipa mashaka kidogo as if ni flag la chama...........ila mzuka nyonyo
 
wanawake wa leo kaaaaaaazi kweli kweli. hakuna anayetaka kudumisha asili yake bali kujichubua tupu na kujilinganisha na watu wengine i.e wazungu
 
hata kama mzuka umekupanda ukikutana naye kitandani lazima ukimbie....au ndo wale tuliokuwa tunasimuliwa utotoni kuwa unaenda na demu geto mpo kitandani unataka kuamka ukazime taa yeye ananyoosha mkono kutoka kitandani mpaka kwenye swichi
 
Angepunguza unga aliojipaka usoni na kufunika kifua angeongeza idadi ya wanaomheshimu. Angalia wengi wanamalizia comment kwa huyu wa kwanza kulia na wenzake ambao wamejisitiri hawaguswe maana yake wametunza heshima yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom