Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,416
Nimesikia azam wamepata access ya kuonyesha uefa kweli??
wapi hao waarabu? Kitu dstv bhana! Ndo mpango mzima! Wengne wote bado sana!
hawa jamaa soon tu wataweka na epl chezea bakharesa wewe..
Naomba niulize, azam receiver ni Full HD na inatumia HDMI cable??
Azam hawajafika kwenye HD, ukiunganisha na smart TV utachukia mpaka basi, acha tuendelee na DSTV, supersport HD channel full utam, plus star tv, channel ten, tbc
wapi hao waarabu? Kitu dstv bhana! Ndo mpango mzima! Wengne wote bado sana!
itv na eatv kwa sasa zipo free nimeziona fr 12605h29995 kwa risiva ya kawaida