Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,416
azam wenyewe wameanza mwaka jana nov leo hii nataka muwekewe channeli zote kwa mkupuo inawezekanaje wapeni time mtawekewa chaneli zote mnazohitajiHakuna Emmanuel Tv na ATN
azam wenyewe wameanza mwaka jana nov leo hii nataka muwekewe channeli zote kwa mkupuo inawezekanaje wapeni time mtawekewa chaneli zote mnazohitajiHakuna Emmanuel Tv na ATN
azam wenyewe wameanza mwaka jana nov leo hii nataka muwekewe channeli zote kwa mkupuo inawezekanaje wapeni time mtawekewa chaneli zote mnazohitaji
Nimelipa mwezi ulopita hakijasoma mpaka umemaliza mwezi.
Kimsingi sasa hivi unatumia smart card number kulipia tofauti na mwanzo walikuwa wakitumia namba maalum.
Piga 0784 108000 utaelekezwa fasta.
Kwa wale mlio nunua visimbuzi vya Azam tv,vp huduma zao kwa ubora wa picha,sauti na chanel zilizomo
---------------
Orodha ya chaneli walizoanza nazo;
Clouds tv
TBC
Channel 10
Azam one
Azam two
Citizen tv
K24
NTV
ZBC
KTV
NBC
Bukedde tv2
Urban tv
MBC1
MBC2
MBC3
MBC4
MBC Action
MBC Max
MBC Drama
MGM Movies
Etv Africa
African Movie
MTV base
Box tv
Landscape
Setanta Africa
My Sport channel
MS Compact Sports
National Geo
Discovery Science
Discovery INve
Fine Living
Outdoor Channel
BBC News
Al jazeera New Engl
Al jazeera New Arab
Al jazeera Kids
Times Now
Nickelodeon
Kids co.
Al arabiya
Wanasah
Star Plus Me
Colours
Zoom
Star Gold Int
Zee Cinema
Zing
MTV India
Sinema zetu
Info
Mkuu channel zote za bongo,Kenya,Uganda hats usipolipia unaziona bureeee!Nimesikia hata zile local Channels zinazopaswa kupatikana bure nazo zinalipiwa?
Naomba kujuzwa!!
Mkuu channel zote za bongo,Kenya,Uganda hats usipolipia unaziona bureeee!
Mkuu nimekusoma kuwa umeshafunga azam sasa naomba kama hutajali niorodheshee chanels zote zilizopo humo.Hizi zinazoletwa humu nahisi zipo outdated coz nimesikia kuna itv lkn kwny list hapo juu haipo.
Pia set up yao kwa jinsi ilivyo naweza kufunga mwenyewe au mpaka fundi?
Mkuu ebu ingia hapa utaiona package ya azam then jumlisha ITV, eatv , fx na fox ambazo hawaja zi update (http://www.lyngsat.com/packages/azam.html)
mimi naona karibia chanel zote zilizopo azam tv ni za maigizo pamoja na habar na wale wapenda soka hasa game za ulaya wao hawana hata chanel moja ya kuangalia hizo game. mimi binafsi sijawakubali hawa jamaa wa azam tv kwa sababu hajagusa kitu ambacho nakipenda hasa game za ulaya
Asante mkuu.Hizo mbc(UAE) zinatofauti gani na zingine?Wanaposema mbc1-4 wanazijumuisha na hizi?
Wapo vizuri mkuu, picha na sauti ni super! King'amuzi chao ni DVB-S2 na ni HD.