Mnawafahamu waliompachika Dkt. Salim Ahmed Salim jina la Hezbollah katika kugombea Madaraka?

Mwinyi na Salim ni tofauti kiutendaji Salim ingawa ni mpole ila ni mkali na mfatiliaji, alionyesha hivyo alipokuwa waziri wa ulinzi na waziri mkuu.
1) unafahamu wa Jan 1990 alivunja baraza la Mawaziri chini ya Mzee Warioba kwa kulituhumu linanuka rushwa ?
2) Unafahamu alimtimua tena Hayati Lyatonga Mrema kwa utovu wa nidhamu wa kusema hadharan siri za baraza ?

3) unafahanu alivyooambana na wahafidhina wa Nyerere hadi kulivunja Azimio la Arusha na Nyerere aliwepo hadi akaishia kumtupia vijembe lila akipata fursa ya hadharani ?

Mtu kachukua Nchi ya Kijamaa akaitoa matopeni na kuipeleka kwny soko huria hadi leo kila mmoja anaona matunda yake?

Nchi hii ingekuwaje kama ingekabidhiwa kwa wale wahafidhina wa Ujamaa hadi leo?
 
Wakati anaondoka madarakani aliacha hazina imefilisika na nchi kuzuiwa misaada kwa rushwa na kushindwa kukusanya Kodi, aliuza loliondo yako mengi hayo ni kwa uchache
 
Genge la Mkwere! Wapo hapo nje wanapasha kuingia uwanjani!
(Nipo kwenye ibada nikitoka nitaeleza kwa marefu na mapana, nimepata nafasi ya kuja JF kwakuwa naona kunachozungumziwa hapa kanisani sio kuacha dhambi, tunaambiwa kuchanga pesa tu haijalishi umezipata kwa njia ipi Mungu anahitaji pesa Sana siku hizi!)
Duuh inafikirisha

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Wakati anaondoka madarakani aliacha hazina imefilisika na nchi kuzuiwa misaada kwa rushwa na kushindwa kukusanya Kodi, aliuza loliondo yako mengi hayo ni kwa uchache
wewe unazungumzia aliachaje Hazina umeacha kusema aliikuta vipi hazina …mie nakusaidia

Mzee Joseph Sinde Warioba ndio PM wa kwanza wa Ally Hassan Mwinyi na ni Home boy wa Nyerere …anakwambia Wamekabidhiwa Nchi hawana hata fedha za kukombolea meli ya mafuta iliyotia Nanga Bandari ya Dsm hadi Hayati Robert Mugabe ndio akaokoa jahazi

Nchi iliyoshindwa kulipia meli ya mafuta unaweza ukasema iliachwaje kiuchumi?

Viwanda vyote vimekufa, nchi haiuzi wala hainunui vitu nje na hata ndani ya Nchi kila kitu kupata ni kwa mbinde lakini wewe umekimbilia kujadili aliachaje nchi hutaki kusema aliikuta Nchi hata kupata dawa ya kusafisha meno ilikuwa ngumu kuliko kupata bhangi

Katika mengi mema aliyofanya Mwinyi kubwa kuliko yote ni kulizika zimwi la Azimio la Arusha …japo hakufanikiwa kulizika katika vichwa vya wajinga wajinga wengi waliobaki wanaona ni ufahari kuitwa Masikini sijui wanyonge
 
Alimweka waziri wa fedha mtu wa mkuranga Nini matokeo yake SI ilibidi apewe amri Toka nje wambadirishe
 
Genge la Mkwere! Wapo hapo nje wanapasha kuingia uwanjani!
(Nipo kwenye ibada nikitoka nitaeleza kwa marefu na mapana, nimepata nafasi ya kuja JF kwakuwa naona kunachozungumziwa hapa kanisani sio kuacha dhambi, tunaambiwa kuchanga pesa tu haijalishi umezipata kwa njia ipi Mungu anahitaji pesa Sana siku hizi!)
Genge!!
 
Back
Top Bottom