Mnara wa Babeli na historia ya kutisha

Mnara wa Babeli na historia ya kutisha

Mkuu Hongera kwa kuleta mada nzuri hivi ila kitu kimoja tunakiruka ni kuwa Nimrod hakujenga mnara mkubwa kma tunavyofikiria kwamba ulitaka ufike mawinguni la hasha alitengeneza pyramid ya kawaida tu kama zile za misri na ushahidi huo upo sana tu ila kma angekuwa amejenga mrefu zaidi ya pale hata msingi au mabaki yangekuwepo ila mpaka leo hakuna ushahidi wa uwepo wa mnara mrefuuuuuuu hivo kma bulj khalifa!!

Ila kinachosisitizwa ni kuwa Nimrod akishirikiana na mwanaye Mardon walikuwa na nguvu za kiroho kubwa sana na katika wakati wao ndio walitawala koo zote za shem ham na japhet maana yeye ndio alikuwa mrithi wa VAZI la Adam ambalo yeyote anayelivaa ndio anakuwa na nguvu za ajabu za kurithi toka kwa Adam na yye alilipata kupitia babaye Ham ambaye aliliiba kutoka kwa Nuhu baada ya gharika .... Hivyo walitaka kufika mbinguni kiroho zaidi kwa kutengeneza GETI la kuwafanya waende mbinguni..... So kikubwa hapa ni kwamba walifanya matambiko makubwa sana na kutumia sayansi ya hali ya juu ya kutengeneza GETI litakalowafanya wafike mbinguni na kumuua huyo Mungu na ndio maana geti lilipoanza kutokea walirusha mishale ambayo ilirudi na damu!!! na ndio Mungu hapo hapo akashuka na kuwatawanya ili wasiendelee na nia yao ya kufika mbinguni.

Hivyo tunapowaza mnara tuwaze kuwa walijenga kiroho ila kimwili ulikuwa mnara mkubwa ila wa kawaida tu kma ile tunayoona Misri au Azteca ila kikubwa hapa ni MATAMBIKO na SAYANSI waliyotumia ndio ilimshtua Mungu hadi akaona wana NIA (sio uwezo) wa kumfikia!!! Akaona awatawanye

Shukrani kwa mada nzuri mkuu
sawa mkuu
 
Shukrani sana wakuu kwa somo zuri mlilotupa hapa ila nilipenda kujua.....

Kama gharika lilikuja kusafisha wale waovu na kuwaacha wema waliokua kwenye Safina vipi roho kama hizi za wakina Nimrod zilitoka wapi?

Wakati yote haya yanafanyika Nuhu hakuwepo?
si kama safina ilikuja kusafisha waovu,kwa sababu ili umalize uovu duniani Inabidi umuondoe shetani...na gharika halikumuondoa shetani..
 
jengo la UMOJA WA ULAYA LIMEJENGWA KWA MUUNDO HUOHUO WA BABELI. NA KTK VITI VYA BUNGE LA ULAYA KITI NAMBA 666 HAKINA MKAAJI COZ HAJAJA BADO.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] serious mkuu
itakuwa huwa anakaa..lakini hatumuoni
cheki ndani ya jengo mandhari yake ni kama alama ya jicho(geti) ambsyo ni maarufu hata kwenye noti za usa juu ya pyramid na pembe maarufu za mnyama huwa anaonekana sana kwenye alama za Freemasonry
images (4).jpeg
 
Mkuu Hongera kwa kuleta mada nzuri hivi ila kitu kimoja tunakiruka ni kuwa Nimrod hakujenga mnara mkubwa kma tunavyofikiria kwamba ulitaka ufike mawinguni la hasha alitengeneza pyramid ya kawaida tu kama zile za misri na ushahidi huo upo sana tu ila kma angekuwa amejenga mrefu zaidi ya pale hata msingi au mabaki yangekuwepo ila mpaka leo hakuna ushahidi wa uwepo wa mnara mrefuuuuuuu hivo kma bulj khalifa!!

Ila kinachosisitizwa ni kuwa Nimrod akishirikiana na mwanaye Mardon walikuwa na nguvu za kiroho kubwa sana na katika wakati wao ndio walitawala koo zote za shem ham na japhet maana yeye ndio alikuwa mrithi wa VAZI la Adam ambalo yeyote anayelivaa ndio anakuwa na nguvu za ajabu za kurithi toka kwa Adam na yye alilipata kupitia babaye Ham ambaye aliliiba kutoka kwa Nuhu baada ya gharika .... Hivyo walitaka kufika mbinguni kiroho zaidi kwa kutengeneza GETI la kuwafanya waende mbinguni..... So kikubwa hapa ni kwamba walifanya matambiko makubwa sana na kutumia sayansi ya hali ya juu ya kutengeneza GETI litakalowafanya wafike mbinguni na kumuua huyo Mungu na ndio maana geti lilipoanza kutokea walirusha mishale ambayo ilirudi na damu!!! na ndio Mungu hapo hapo akashuka na kuwatawanya ili wasiendelee na nia yao ya kufika mbinguni.

Hivyo tunapowaza mnara tuwaze kuwa walijenga kiroho ila kimwili ulikuwa mnara mkubwa ila wa kawaida tu kma ile tunayoona Misri au Azteca ila kikubwa hapa ni MATAMBIKO na SAYANSI waliyotumia ndio ilimshtua Mungu hadi akaona wana NIA (sio uwezo) wa kumfikia!!! Akaona awatawanye

Shukrani kwa mada nzuri mkuu
Nasikia nimrod ndiye alileta utawala duniani
 
View attachment 762685
ebhanaa eeehh''' hebu post na picha ya hiyo sit kwanza...
 
Nasikia nimrod ndiye alileta utawala duniani
Yes.... Mifumo yote ya utawala ujenzi jeshi elimu rasmi sheria n.k vilianzia kwa Nimrod sababu kabla ya hapo watu walikuwa wanaongozwa na Mungu ila baada ya gharika Nimrod ndio alipingana na hilo na akataka wanadamu wajitawale wenyewe hivo jiji la kwanza yaani babylon alilijenga yeye na kuanzia hapo utawala wake ndio ukaweka misingi ya kila kitu vinavyotumika hadi sahivi kuanzia serikali hadi mahakama na sheria!!!

Hatari sana huyu mtu
 
Mkuu Hongera kwa kuleta mada nzuri hivi ila kitu kimoja tunakiruka ni kuwa Nimrod hakujenga mnara mkubwa kma tunavyofikiria kwamba ulitaka ufike mawinguni la hasha alitengeneza pyramid ya kawaida tu kama zile za misri na ushahidi huo upo sana tu ila kma angekuwa amejenga mrefu zaidi ya pale hata msingi au mabaki yangekuwepo ila mpaka leo hakuna ushahidi wa uwepo wa mnara mrefuuuuuuu hivo kma bulj khalifa!!

Ila kinachosisitizwa ni kuwa Nimrod akishirikiana na mwanaye Mardon walikuwa na nguvu za kiroho kubwa sana na katika wakati wao ndio walitawala koo zote za shem ham na japhet maana yeye ndio alikuwa mrithi wa VAZI la Adam ambalo yeyote anayelivaa ndio anakuwa na nguvu za ajabu za kurithi toka kwa Adam na yye alilipata kupitia babaye Ham ambaye aliliiba kutoka kwa Nuhu baada ya gharika .... Hivyo walitaka kufika mbinguni kiroho zaidi kwa kutengeneza GETI la kuwafanya waende mbinguni..... So kikubwa hapa ni kwamba walifanya matambiko makubwa sana na kutumia sayansi ya hali ya juu ya kutengeneza GETI litakalowafanya wafike mbinguni na kumuua huyo Mungu na ndio maana geti lilipoanza kutokea walirusha mishale ambayo ilirudi na damu!!! na ndio Mungu hapo hapo akashuka na kuwatawanya ili wasiendelee na nia yao ya kufika mbinguni.

Hivyo tunapowaza mnara tuwaze kuwa walijenga kiroho ila kimwili ulikuwa mnara mkubwa ila wa kawaida tu kma ile tunayoona Misri au Azteca ila kikubwa hapa ni MATAMBIKO na SAYANSI waliyotumia ndio ilimshtua Mungu hadi akaona wana NIA (sio uwezo) wa kumfikia!!! Akaona awatawanye

Shukrani kwa mada nzuri mkuu
Zitto Junior naomba nisaidie kunijuza hiyo mishale waliyokuwa wanamrushia Mungu na kurudi ikiwa na damu ilikuwa ikimlenga nani??? na ilimchoma nani??? na kama ilimchoma mtu au malaika nini ilikuwa madhara yake??
 
Mkuu shida ya hao wanadamu walifkiri Mungu ni limtu flani hivi ambalo ni libinadam hivyo wanaweza pambana tu kivita wakammaliza ndio maana walipoona geti la kumfikia limefunguka walianza kurusha mishale ambayo ilirudi na damu

ila kwa maoni yangu mishale kurudi na damu haina maana yeyote sababu Mungu hana mwili wa damu na nyama so hizo damu zitoke wapi ila kwa maoni yangu nahisi Mungu aliamua kuwakejeli tu kuwa mishale yao imempata ili aone watafanya nni ssa baada ya kuwa wamemuua Mungu?? Alitaka kupima ukomo wa fikra na maarifa yao na ndio maana alipoona HAWANA JIPYA zaidi ya mbwembwe tu akawachafua lugha tu kidogo mchezo ukaisha hapo hapo wakashindwa hata kutamka kwa ufasaha maneno yao ya kufukiza matambiko (mgogo wa ipagala atamke neno la kiingereza CIRCUMSTANCE kwa ufasaha?? ) mwisho wa siku geti likafungika na mchezo ukaisha hapo
 
haya mambo ya ajabu sanaa maana cku hizi watu wanatuma rovers mars huko zinapiga mishe lakin hakuna incident yyte ile..Mungu atakua yuko mbali sana kupita jua, alpha centaur hata Andromeda unapita kabisa unatokomea
Mkuu nani kasema Mungu anaishi mawinguni?? Walijenga mnara wa kiroho sio kimwili ni sawa na mtu afanye tambiko bagamoyo la kumfanya ajisafirishe hadi marekani bila kutumia ndege wala usafiri wowote ndio walivofanya kina nimrod, semiramis na mardon walijenga GETI linalowafikisha mbinguni ambalo walifanikiwa ila walisambaratishwa kabla ya kuiona mbingu yenyewe
 
Asante niliwaza hivo pia
 
sasa lile neno la kusema kwamba "Na tujifanyie mnara utakaoonekana duniani kote " lina maana gani kama ni mnara wa kiroho nani atauona
 
Alimaanisha kweli mnara mkubwa ambao kwa kipindi chake ulikuwa mkubwa sana kabla hta pyramid za misri na azteca hawajaiga

Ila ilifanana hivi na sio mnara kma ile ya airport au bandarini.... Unaweza ukagoogle EL ZIGGURAT ndio aliyojenga Nimrod na semiramis huko Mesopotamia ya kale

Ancient_ziggurat_at_Ali_Air_Base_Iraq_2005.jpg
 
Back
Top Bottom