Mnaotumia soda ya coke mnaona ipo sawa?

Mnaotumia soda ya coke mnaona ipo sawa?

s
Weweee, nani kakuambia mtu mweupe huwa anatumia vitu kama hivyo??!!, Wao wanajali sana viwango (standards) kabla bidhaa haijaingia sokoni na hasa bidhaa yenyewe ikiwa inahusiana moja kwa moja na afya za watu, huwezi kukuta vitu kama hizi Energy drinks zisizokuwa na viwango huko Ulaya, kabla vinywaji havijaingia sokoni hufanyiwa uchunguzi mkali sana ndipo ziingizwe sokoni kitu ambacho huku kwetu ni vigumu sana kufanyika kwasababu ya utaalamu wetu mdogo, Rushwa nk.

Mimi huu ni mwaka wa 6 sijanywa kinyaji chochote cha machupa na Soda.
saazingine muwe mnaficha ujinga na ushamba wenu. we umeshafika huko kwa wazungu? Cocacola na pepsi zote ni kampuni za Marekani na soda zao ziko dunia nzima. Hizo soda raw materials zote zinatoka kwao na wanakuja mara kwa mara kutembelea viwanda vya hapa kwetu kuangalia wanafuata formula zao na ubora. Energy drinks zimeanza kwao, RedBull imwetoka kwao pia. Acheni kuandika vitu vya hovyo, km hutaki iache lazima uwashirikishe wenzako kwa kutoa kashfa za uwongo?
 
Usifananishe quality ya Bongo ni sawa na Europe ni tofauti kabisa
uzalishaji wa hivyo vinywaji unasimamiwa na wenye viwanda vyao, hawatakubali uharibu bidhaa yao, shida yako una ugonjwa wa kutojiamini, kila kitu unajidharau, jiamini kijana.
 
Mimi nilishajiapia hakuna siku Nitavuta kiti nikae nikunywe soda inayoitwa coke.

I can't even recall the last I had a soft drink.
 
Mimi sio mtumiaji wa soda ila jana nilinunua soda coca lakini nilivyoinywa niliona utofauti mkubwa sana hasa kwenye ladha na pia soda haina gas.

Leo tena nimeinywa sehem nyingine naona ladha ileile coca imebadilika sio kama ilivyokuwa zamani kiukweli soda imenishinda ina ladha mbaya sana. Hii sio coca nayoijua mimi imekua ya hovyo mpaka nikahisi labda ime expiry, kucheki date naona ipo sawa.

Kuna mabadiliko makubwa sana kwenye hii soda sijajua kwenye fanta na aina zingine. Cocacola wamechange formula yao au ni mimi tu sababu sijainywa muda mrefu??. Maana nasikia mpaka kichefuchefu soda inaladha ya ajabu.

Mnaoitumia hii soda naombeni majibu juu ya hii soda.
View attachment 2616092
....Unanunua COCA Sio COKE ! Tuanzie Hapo kwanza !
 
s

saazingine muwe mnaficha ujinga na ushamba wenu. we umeshafika huko kwa wazungu? Cocacola na pepsi zote ni kampuni za Marekani na soda zao ziko dunia nzima. Hizo soda raw materials zote zinatoka kwao na wanakuja mara kwa mara kutembelea viwanda vya hapa kwetu kuangalia wanafuata formula zao na ubora. Energy drinks zimeanza kwao, RedBull imwetoka kwao pia. Acheni kuandika vitu vya hovyo, km hutaki iache lazima uwashirikishe wenzako kwa kutoa kashfa za uwongo?

Imekugusa kwakuwa biashara yako itakufa au sio??

Energy drinks za chupa za plastic wanazokunywa Watz zinatoka Marekani au Watz wengi wanakunywa Red bull ??!.

Cocacola ya sasa na ya zamani miaka ya 80-90s zina ladha ileile??, au Coke ya Kenya na ya Tz zinalingana ladha??, umejiuliza kwanini ladha imekuwa tofauti??

Mimi mwenyewe nimewahi kunywa Enegy drink (nahifadhi jina la kampuni) na ikaniletea maumivu makali kati ya nyonga na sehemu ya mbeleni kwa pande zote mbili na hiyo ni dalili ya athari mbaya kwenye mafigo pia kuna dada mmoja ninayemfahamu alinunua Energy drinking mbili moja akanywa na nyingine akampatia rafiki yake ambaye baada ya kunywa na kabla hajamaliza alipata athari mbaya na akakimbizwa hospitalini ndipo akanusurika, pia nenda YouTube uangalie mtu aliyenusurika kifo baada ya kunywa Energy drinks na hao wapo wengi, huyo Doctor wa Muhimbili kwenye (YouTube) kashauri watu tuache kunywa hizo Energy drinks, mfuate na huyo ukamuambie afiche ujinga wake!!.

Eti Wazungu huja kucheki Quality za Coke!!, acha ujuha wewe, mzungu gani aje kujali afya ya wewe nigga mweusi ili apate nini??, yeye anachojali ni nyinyi mnywe "sumu" kwa gharama zenu ili apate faida tu, wewe unawajua wazungu kweli !!, halafu unajiona mjanja!!.

Kifupi Energy drinks ni sumu.
 
acha ushamba wa hovyo namna hiyo, hiyo soda ipo dunia nzima

Mshamba ni yule anayekunywa sumu kwakuwa dunia yote inakunywa au mshamba ni yule asiyekunywa sumu kwakuwa itamdhuru akinywa ??!--- tafakari na chukua hatua pale unapotonywa ukweli uliofichwa kwa ajili ya kuokoa maisha yako.
 
basi kumbe si coke tu maana kuna hii juice ya mango iko manufactured na t same company unakunywa kwa kujiuliza ivi humu kuna embe au nini yaan haieleweki mdomon
 
Vinywaji baridi vingi siku hizi ni sumu maalumu ziliyoandaliwa kimkakati kuua taratibu watu weusi. Watu weusi hatutakiwi duniani.

"We buy poisons with our own money"--- it is poisons for sale.
Wakitaka kuwamaliza hawatumii hata mwezi mnakua udongo tyuuh.

Acheni fikra potofu.
 
Weweee, nani kakuambia mtu mweupe huwa anatumia vitu kama hivyo??!!, Wao wanajali sana viwango (standards) kabla bidhaa haijaingia sokoni na hasa bidhaa yenyewe ikiwa inahusiana moja kwa moja na afya za watu, huwezi kukuta vitu kama hizi Energy drinks zisizokuwa na viwango huko Ulaya, kabla vinywaji havijaingia sokoni hufanyiwa uchunguzi mkali sana ndipo ziingizwe sokoni kitu ambacho huku kwetu ni vigumu sana kufanyika kwasababu ya utaalamu wetu mdogo, Rushwa nk.

Mimi huu ni mwaka wa 6 sijanywa kinyaji chochote cha machupa na Soda.

Kuhusu kufa utakufa tu au kuumwa utaumwa tu unywe au laa
 
Nlidhani ni Mimi mwenyewe nimeliona hili,soda kama Zina magadi,hata utikise gesi hakuna,na mbaya zaidi ni hizi zilizo kwenye chupa za plastiki,Bure kabisa
 
Wakitaka kuwamaliza hawatumii hata mwezi mnakua udongo tyuuh.

Acheni fikra potofu.

Mtu akumalize huku ukijua??!--- huyo atakuwa mwehu, kama hujui Mzungu ni panya anayeng'ata huku akipuliza, isitoshe wao wanatuona kama Guinea pigs/lab rats wao sasa kama watatuua kwa mpigo utafiti wa madawa na vinywaji vyao wanavyozalisha nk watafanyia kwa viumbe gani?

Waafrika kweli bado Bongolala, Wakeup Africans.
 
Kuhusu kufa utakufa tu au kuumwa utaumwa tu unywe au laa

Mimi sijasema kwamba sitakufa laahasha !!, ninachosema; Siwezi kununua sumu na kuinywa hukuu nikijua kwamba ninakunywa sumu. Kama kufa nife kwa bahati mbaya au nife kwa kifo cha kawaida.
 
Mimi sijasema kwamba sitakufa laahasha !!, ninachosema; Siwezi kununua sumu na kuinywa hukuu nikijua kwamba ninakunywa sumu. Kama kufa nife kwa bahati mbaya au nife kwa kifo cha kawaida.

Kitu gani? Wewe unachofikiri sio sumu tiba gani? Kuu unayoitegemea, watakuua popote palee sio tu kwenye soda sumu, % asilimia ya vitu vingi tunategemea kwao panaldo na muendelezo wake hayaa vifaa vyote vya uuguzi haya kuzalisha mama mjamzito vifaa vyote vya uzalishaji- sasa unawakimbia wapi? Wakitaka kukuua
 
Back
Top Bottom