Mnaotumia soda ya coke mnaona ipo sawa?

Mnaotumia soda ya coke mnaona ipo sawa?

Kitu gani? Wewe unachofikiri sio sumu tiba gani? Kuu unayoitegemea, watakuua popote palee sio tu kwenye soda sumu, % asilimia ya vitu vingi tunategemea kwao panaldo na muendelezo wake hayaa vifaa vyote vya uuguzi haya kuzalisha mama mjamzito vifaa vyote vya uzalishaji- sasa unawakimbia wapi? Wakitaka kukuua


Hivi wewe nikupe jina gani??, hivi unatumia akili kufikiri??

Wewe unaweza kunywa sumu ukitambua kwamba hiyo unayokunywa ni sumu??-- kama ukinywa utakuwa unazo akili za kujitambua kweli??!

Hicho unachokiongea ni desperate and submissiveness to them and succumbing to whatever vices they plan against you, it seems you are willing to accept even homosexuality about which they have been professing to us and that is a stage of self unconsciousness you have attained.

Nasema hivi; Wafanye njama zozote za kunidhuru kwa siri mimi nisijue hapo nitakuwa sina jinsi lakini wakifanya njama ya kunidhuru huku naona kwamba hiyo ni njama ya kunidhuru hapo ni lazima nichukue hatua.

Waafrika tujitambue tusiwe kama Wanyama tusiojitambua hata kidogo, vinginevyo hao watazidi kutudharau.
 
What if kule kiwandani zime-expire kiasi kama lita milioni kadhaa za components za kutengenezea hiyo soft drink, lakini chief chemist wao ameshauri kwamba kwa sababu haina ^madhara^ kwa watumiaji, basi waendelee na mchakato ili kukiepushia kiwanda hasara?

Naamini humu JF kuna officers wa kampuni husika, wanatikisa kichwa wakikubaliana nami kwamba nasema ukweli mtupu. 🙂
 
Mimi sio mtumiaji wa soda ila jana nilinunua soda coca lakini nilivyoinywa niliona utofauti mkubwa sana hasa kwenye ladha na pia soda haina gas.

Leo tena nimeinywa sehem nyingine naona ladha ileile coca imebadilika sio kama ilivyokuwa zamani kiukweli soda imenishinda ina ladha mbaya sana. Hii sio coca nayoijua mimi imekua ya hovyo mpaka nikahisi labda ime expiry, kucheki date naona ipo sawa.

Kuna mabadiliko makubwa sana kwenye hii soda sijajua kwenye fanta na aina zingine. Cocacola wamechange formula yao au ni mimi tu sababu sijainywa muda mrefu??. Maana nasikia mpaka kichefuchefu soda inaladha ya ajabu.

Mnaoitumia hii soda naombeni majibu juu ya hii soda.
View attachment 2616092

Wewe ndio umejua leo? Mimi niliachana nayo kitambo sana, coca ya leo sio ile ya zamani

Pepsi kiboko ya zote 💪🏽💪🏽

Ushauri wangu tunywe maji, juice za kutengeneza majimbani, juice fresh.
 
Mtu akumalize huku ukijua??!--- huyo atakuwa mwehu, kama hujui Mzungu ni panya anayeng'ata huku akipuliza, isitoshe wao wanatuona kama Guinea pigs/lab rats wao sasa kama watatuua kwa mpigo utafiti wa madawa na vinywaji vyao wanavyozalisha nk watafanyia kwa viumbe gani?

Waafrika kweli bado Bongolala, Wakeup Africans.
Wee ndo uamke, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wazungu waache kupigania mambo ya maendeleo, wawaze watu wanaowapa misaada na mikopo kila kukicha?? Maajabu haya
 
Back
Top Bottom