Umekuwa mkali sana master. Tatizo unazitembeza nyingi sana. Tulia na moja budaMtu wa hovyo kabisa wewe. Ukimwona mgonjwa wa Ngoma aliyejichokea sidhani kama utapata ujasiri wa kusimamisha bila condom.
Bahati mbaya wagonjwa wengi wapo majumbani hawaonekani
Baba yako akisoma hii comment ataumia sana kwa nini aliuza ile ng’ombe ili kupeleka ng’ombe ingine shule.
Sasa unatumia zile wanagawa hosp bure unategemea nini?
Hebu jaribu durex. Utachagua unataka ya kufanyaje…
To pleasure her
Extra Thin like you wear nothin
Extra lubricated
😂😂😂😂
Sisi wenyewe tunakushangaa unawezaje kufanya hiyo makitu bila kuvaa hiyo kitu arifuKwenye hoja moja kwa moja.
Mambo si mengi. Hebu tupeane uzoefu wenzangu mnawezaje kutumia condoms na mkafika mshindo chap? Mimi nikitumiaga hiyo mavitu aisee naweza kumchubua mtoto wa watu.
Nakimbiza hata dakika 45 bila bila. ILA tukiingia nyama do 20 ndo wastani.
Condoms naona hazileti uroda kabisa. Ni kama kupiga puchu tuu.
Mnawezaje wajuvi kufurahia condoms?
Ingekuwa hivyo watu wasingepata HIV.HIV kama hujatairi na hamuaandaani vizuri. Condoms zinakinga kidogo ila ukifanya jando huhitaji condoms kwa magonjwa yote ya zinaa
Hii ng’ Imejua kusoma na kuandika. Ile nyingine haingejua 😂Baba yako akisoma hii comment ataumia sana kwa nini aliuza ile ng’ombe ili kupeleka ng’ombe ingine shule.
Sasa unatumia zile wanagawa hosp bure unategemea nini?
Hebu jaribu durex. Utachagua unataka ya kufanyaje…
To pleasure her
Extra Thin like you wear nothin
Extra lubricated
😂😂😂😂
Baba yako akisoma hii comment ataumia sana kwa nini aliuza ile ng’ombe ili kupeleka ng’ombe ingine shule.
Rate ya HIV mikoa ya pwani ambako ustaarabu wa jando ni mkubwa rate ni ndogo sana ikilinganishwa na bara wasikotahiliIngekuwa hivyo watu wasingepata HIV.
Sasa unatumia zile wanagawa hosp bure unategemea nini?
Hebu jaribu durex. Utachagua unataka ya kufanyaje…
To pleasure her
Extra Thin like you wear nothin
Extra lubricated
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ina maana waliopata ukimwi hawajatahiri et... karudie uchunguzi wako la sivyo utakufa kimasiharaHIV kama hujatairi na hamuaandaani vizuri. Condoms zinakinga kidogo ila ukifanya jando huhitaji condoms kwa magonjwa yote ya zinaa
Imezidiwa kidogo na durex ya pleasure me. 😂😂Ndomu yangu ni rough Rider
Ndio maana vinauzwa buku mara vinagawiwa bureVile vicondom vya bei rahisi vimenishinda kwenye harufu vinatoa harufu mbaya