Mnaotumia Condoms mnawezaje?

Mnaotumia Condoms mnawezaje?

Sasa unatumia zile wanagawa hosp bure unategemea nini?

Hebu jaribu durex. Utachagua unataka ya kufanyaje…
To pleasure her
Extra Thin like you wear nothin
Extra lubricated
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ewaaaaaa[emoji23]
 
Sasa unatumia zile wanagawa hosp bure unategemea nini?

Hebu jaribu durex. Utachagua unataka ya kufanyaje…
To pleasure her
Extra Thin like you wear nothin
Extra lubricated
😂😂😂😂
Hizi zinapatikana kwenye hizi Pharmacy..?
 
Kwenye hoja moja kwa moja.

Mambo si mengi. Hebu tupeane uzoefu wenzangu mnawezaje kutumia condoms na mkafika mshindo chap? Mimi nikitumiaga hiyo mavitu aisee naweza kumchubua mtoto wa watu.

Nakimbiza hata dakika 45 bila bila. ILA tukiingia nyama do 20 ndo wastani.

Condoms naona hazileti uroda kabisa. Ni kama kupiga puchu tuu.

Mnawezaje wajuvi kufurahia condoms?
Toa nyeto apo, puchu itengwe usilinganshe na uktumia ndom
 
Back
Top Bottom