Mnaotumia Condoms mnawezaje?

Mnaotumia Condoms mnawezaje?

kwa mtu ninayemuamini siwezi kutumia hiyo kitu na siwezi kufanya sex na mtu nisiyemuamini,,,,, kwa namna nyingine siwezi kutumia condom😀😀😀
 
Ukiachana na hawa wa condom, kuna wengine wa kuwithdraw, kah! me nimeshindwa aisee, yani nimwage magma nje?, hapana kubwa. Kumwagia ndani kuna raha yake tena umkute manzi fundi anaibana na kuiachia pipe, mate yatakudondoka.
 
Napita kama Mpoto majuto kesho
IMG_20220930_230121.jpg
 
Kwenye hoja moja kwa moja.

Mambo si mengi. Hebu tupeane uzoefu wenzangu mnawezaje kutumia condoms na mkafika mshindo chap? Mimi nikitumiaga hiyo mavitu aisee naweza kumchubua mtoto wa watu.

Nakimbiza hata dakika 45 bila bila. ILA tukiingia nyama do 20 ndo wastani.

Condoms naona hazileti uroda kabisa. Ni kama kupiga puchu tuu.

Mnawezaje wajuvi kufurahia condoms?
nikivaa condom huwa bao nalitafuta kwa mbinde sana,sahizi najipigia tuu mkono iimeisha staki shida
 
Kuna watu wanauume mdogo mpaka condom haimtoshi wengine vibamia haswaa condom inapwaya yaan we upo kundi lipi hapo
 
Back
Top Bottom