Mnaopanga kuandamana tena

Afadhali wewe umeona aisee
Asante Kwa kuelewa
Kizazi hiki hakipokei ujumbe ili wauelewe,Bali wanaupokea ili wajibu.
We appreciate what they do kama njia ya kujikomboa.na sio Kila mtu anapitia njia mororo na amefanikiwa kiasi kwamba atoke hapa akachote pesa bank,ajaze mazaga ndani,wengine unakuta hata jiko Hana bado.mambo ni mengi.na bado anapokaa pa low budget choo kipo nje atatamnai yamkute?
Kuna wengine wanauguza wagonjwa ndani wakipewa lockdown ya siku Tano watatokaje hata usafiri barabarani hamna?
Kuna wengine hawana ndugu hawana pa kwenda waende wapi?
Nlichoshauri ni kwamba wajitahidi kutumia busara na sio kuchoma maduka kama awali na zile riot ndo zinawapa ujasiri upande wa pili kuwacntrol Kwa nguvu..kama wamedhamiria Kwa amani waeenende Kwa amani lakini lolote linaweza kutokea.

Nawatakia Kila la heri
 
Asante ba mkwe.
The struggle is real out there.
Tutaponea wapi na bado tuna ndoto na malengo tunahitaji tutimize.
Kila upande una umuhimu wake.
Vyovyote itavyokuwa ndo hivohivo
Nimejiandaa
 
Vumilia kidogo acha nyumbu ziandamane kuiba na kuharibu mali za watu ili ziuwawe maana hazistahili kubaki hai, kinachotafutwa ni justification ya kuwauwa hadi kuwamaliza kwahiyo acha waandamane ili wamalizwe.

Kwahiyo vumilia kula mandazi operation hii ya nyumbu kuliwa na mamba haitumia siku nyingi ni siku mbili tu
 
Mkuu mi simo😄
Nimeoga matusi ya kutosha huko juu
 
Kweli kabisa Abigail, umeongea really ya maisha yetu kwa ujumla .
Ile ya kwanza imetosha kabisa kufikisha ujumbe .
Kwa sasa hali ni ngumu sana aisee heri wasitishe.
Hapana haijatosha acha nyumbu zitoke kuiba na kuharibu mali za watu ili zimaliziwe operation ya kuuwa nyumbu ni ya muhimu sana katika nchi hii serekali haitakiwi kuwa na huruma na nyumbu yoyote.
 
Mkuu mi simo😄
Nimeoga matusi ya kutosha huko juu
Usijali mimi ndo kiboko yao.

Hizi nyumbu ni muhimu sana kuuwawa zikibaki hai zitakusumbua kila siku kwahiyo acha ziandamane hiyo siku ziibe na kuharibu mali ili ziuwawe zimalizwe, Safari hii hatakufa tena asie na hatia kila nyumbu atakufa mbele ya mali aliyoiba au mali aliyoiharibu katika hilo hamna huruma.
 
Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya

Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Kabla ya hayo maandamao mnapigwa lockdown. Fanya utaratibu kakope kwa mangi. Kukiwasha au kukinukisha hili halikwepeki.
Haiwezekani wauwe ndugu watupotezee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…