Mnao lala bila mto pillow mna wezaje?

Mnao lala bila mto pillow mna wezaje?

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hayaaa!

Nunua weka kwenye box fungia huko mbali wageni wakija unawatolea wanakuwa confotabo wakiondoka unafungia tena, Hii itakuepusha kula block za mara kwa mara X.
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Kwangu hakaribishwi mtu. Ila mahala pa kulala pakiwa pazuri hata akili inaamka sawa, ila pakiwa luxury sana mawazo mabaya ya kulala wawili huanza kuja
 
Kulalia mto siwezi kabisa, kila mtu ananishangaa ndo hivyo siwezi,,

Kulala taa inawaka aaah siwezi,,

Muziki uwe sauti ya chini,, sema hii ni video lazima nisikilize ndo nilale na itajirudia mpk simu izime,

Nalala uchi,, hata hapa nipo uchi ndani ya shuka,,

Nishamlza
Utakuja katwa izo kengelele
 
Naweza kulala popote kwenye hali yoyote, nililala na kukoroma juu ya kokoto labda mbu na kunguni ndio wanaweza nifanya nisipate usingizi.
Ila siwezi kulala biila kufunika miguu, hata kuwe na joto kiasi gani bila kufunika miguu naona bado sijalala.
Kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom