Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,434
- Thread starter
- #121
Nimeongelea kwa mazingira ya nyumbni nikikuoneshea maangaiko yangu sizan kama utawezaHizo scenario zako mbona ziko kimayai sana.
Huwez kulala na muziki unaimba huku wengine tunalala na earphone, watu wana lala war combat zone, watu tunalala kwenye edge ya kitamba kabisa na tunajigeuza na hatuanguki, tunalala juu bomba za fuso zile usiku chuma inatembea na baridi kali, tunalala pillow ngumi chini umepiga buti.
Na unavyopenda kupika pika hivyo unaweza ukalala na njaa wewe??