Mnao lala bila mto pillow mna wezaje?

Mnao lala bila mto pillow mna wezaje?

Kulalia mto siwezi kabisa, kila mtu ananishangaa ndo hivyo siwezi,,

Kulala taa inawaka aaah siwezi,,

Muziki uwe sauti ya chini,, sema hii ni video lazima nisikilize ndo nilale na itajirudia mpk simu izime,

Nalala uchi,, hata hapa nipo uchi ndani ya shuka,,

Nishamlza
Ngoja popo bawa wakufuate shekhe
 
Mimi binafsi siwez lala bila mto

Siwezi lala uchi yaan mali zangu ziwe naked kabisa siwez lazima nilale na bukta au pensi

Siwez lala taa ina waka

Siwezi lala mwanzoni mwa kitanda lazima nianguke

Siwez lala uku mziki una imba no

Ninyi wengine mna wezaje?
Wewe unawezaje?

Kulala na mto
Kulala na nguo
Kulala na giza
Kulala ukutani
Kulala bila mziki

Tupe stori yako, wewe unawezaje?
 
Mimi binafsi siwez lala bila mto

Siwezi lala uchi yaan mali zangu ziwe naked kabisa siwez lazima nilale na bukta au pensi

Siwez lala taa ina waka

Siwezi lala mwanzoni mwa kitanda lazima nianguke

Siwez lala uku mziki una imba no

Ninyi wengine mna wezaje?
Mimi hulalia mto ila usingizi ukianza nautupa pembeni siwez pata usingizi mzuti nikiwa nimelalia mto
 
Huu uongo wako utakupeleka pabaya 😅

Kwanini majirani wana mito we huna? 🤣
😅 majirani wanajali wageni na ndio mtu wapata nafasi ya kupumzika, mazingira yangu ya kulala hayapo comfortable inanipa sana kufanya kazi usiku, kuna dada alikuwa anahisi mie na maisha mazuri, akang'ang'ani kuja napo ishi na kulala, mbona nimetoka msindikiza akaniacha na kuniacha na simu yangu aka block.. Ukisha jaza mito na kitanda safi aah utalala masaa nane, kitu ambacho nitaugua na moyo kwa uchungu
 
Kwani kuna watu wanalala bila mto??

Binafsi lazima nilale na mto,mto mwingine nauweka katikati ya mapaja ama kuukumbatia
images.jpeg

Picha
 
Naweza kulala popote kwenye hali yoyote, nililala na kukoroma juu ya kokoto labda mbu na kunguni ndio wanaweza nifanya nisipate usingizi.
Ila siwezi kulala biila kufunika miguu, hata kuwe na joto kiasi gani bila kufunika miguu naona bado sijalala.
 
😅 majirani wanajali wageni na ndio mtu wapata nafasi ya kupumzika, mazingira yangu ya kulala hayapo comfortable inanipa sana kufanya kazi usiku, kuna dada alikuwa anahisi mie na maisha mazuri, akang'ang'ani kuja napo ishi na kulala, mbona nimetoka msindikiza akaniacha na kuniacha na simu yangu aka block.. Ukisha jaza mito na kitanda safi aah utalala masaa nane, kitu ambacho nitaugua na moyo kwa uchungu
😂😂😂 Hayaaa!

Nunua weka kwenye box fungia huko mbali wageni wakija unawatolea wanakuwa confotabo wakiondoka unafungia tena, Hii itakuepusha kula block za mara kwa mara X.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom