Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,435
- Thread starter
- #41
Kama nyokaKunyooka
Kama nyokaKunyooka
Style ya alizeti kuchanua 😁Style gani iyo
Nitalala na boxer af nina bukta za kutembea nazo ndaniHuwezi kulala uchi? Kama uko kwenye mahusiano unafanya ukatili wa kijinsia Kuna Raha yake
Hili jina naogopa kulisikianyoka
Duh poleBinafsi situmii mto,,,, naumia shingo,,,, mto ni kama pambo tu for Me !
For sureSisi walevi tunachukua chochote kilichoko karibu tunakigeuza mto 🤣🤣
😂😂😂 uta amk tuMImi siwezi kulala na njaa tu,
Mengine yote yanazungumzika.
Sio siriStyle ya alizeti kuchanua 😁
😀😀AiseeNaisikia kwako
Ndio boss😀😀Aisee
Pole utolisikia tenaHili jina naogopa kulisikia
Kabisa ila wapo watu wanalala nakedTaa kuwa on hapana, mziki sauti ya chini Yes,,,, napenda sana !
Kulala na bukta ama boxer ni sahihi kwa mwanaume, unalalaje nyara ziko wazi ?
Hata kama umelala na mkeo/mpz mkimaliza yenu vaa bukta/boxer lala
Mazoea hayo nadhani... Mimi huwa nakua comfortable nikilala sehemu iliyonyooka ila nikitumia mto huwa ni probability kuna siku naamka Niko sawa na siku nyingine naona kama shingo yangu kuna namna haiko sawa hivi😅😅Dah mm siwez
Kuna siku nilikula machungwa nikalala aloo usiku niliamka mwenyewe kwenda kutafuta chakula road 😀😀MImi siwezi kulala na njaa tu,
Mengine yote yanazungumzika.
Duh tna tofautianMazoea hayo nadhani... Mimi huwa nakua comfortable nikilala sehemu iliyonyooka ila nikitumia mto huwa ni probability kuna siku naamka Niko sawa na siku nyingine naona kama shingo yangu kuna namna haiko sawa hivi😅😅
Machungwa yana letesha njaa utakuja zikwa ukiwa haiKuna siku nilikula machungwa nikalala aloo usiku niliamka mwenyewe kwenda kutafuta chakula road 😀😀
Sio powa nilisikia njaa Kali sanaMachungwa yana letesha njaa utakuja zikwa ukiwa hai
unakaa kwenye mansion hapo njiroUshua upi