Mnao lala bila mto pillow mna wezaje?

Mnao lala bila mto pillow mna wezaje?

Hakijaharibika kitu,njoo PM nikupe ushauri wenye manufaa,
Au nikupigie kwenye ile namba yako ya TTCL?
Dah hadi nimepaliwa maziwa.

Kwasasa tulia, tuchape kazi tulipe kodi. jioni ikifika piga kabisa kwenye hiyo namba ya TTCL kwa ushauri zaidi. 🤣

Usije kunipa ushauri sasa hivi nikaangua kilio mbele ya umma.
 
Naweza kulala popote kwenye hali yoyote, nililala na kukoroma juu ya kokoto labda mbu na kunguni ndio wanaweza nifanya nisipate usingizi.
Ila siwezi kulala biila kufunika miguu, hata kuwe na joto kiasi gani bila kufunika miguu naona bado sijalala.
Ulikua na usingizi wa ukuruti?🤣
Unalalaje kwenye kokoto sasa hivi katika Amani.🥺
 
Hiyo ya kulala mwanzoni utaanguka🤣🤣🤣🤣 sasa kwenye zile deka za juu za futi mbili na nusu, Mliishije au ulikua na uadui na kulala juu?
 
Ulikua na usingizi wa ukuruti?🤣
Unalalaje kwenye kokoto sasa hivi katika Amani.🥺
Yaani nikifikiria jinsi nililala na kupata usingizi kwenye kokoto mpaka asubuhi hata sielewi. Ulikuwa usingizi wa zaidi ya weeks bila kufumba hata jicho 😂😂😂
 
Hiyo ya kulala mwanzoni utaanguka🤣🤣🤣🤣 sasa kwenye zile deka za juu za futi mbili na nusu, Mliishije au ulikua na uadui na kulala juu?
Nalal juu ula najibanza ukutani kabisa kule kivile hakuna mto nachukua begi naliweka nalalia
 
Why? Umetumia kitu gani kujua ilo
Hizo scenario zako mbona ziko kimayai sana.
Huwez kulala na muziki unaimba huku wengine tunalala na earphone, watu wana lala war combat zone, watu tunalala kwenye edge ya kitamba kabisa na tunajigeuza na hatuanguki, tunalala juu bomba za fuso zile usiku chuma inatembea na baridi kali, tunalala pillow ngumi chini umepiga buti.

Na unavyopenda kupika pika hivyo unaweza ukalala na njaa wewe??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom