Mnao lala bila mto pillow mna wezaje?

Mnao lala bila mto pillow mna wezaje?

Mimi binafsi siwez lala bila mto

Siwezi lala uchi yaan mali zangu ziwe naked kabisa siwez lazima nilale na bukta au pensi

Siwez lala taa ina waka

Siwezi lala mwanzoni mwa kitanda lazima nianguke

Siwez lala uku mziki una imba no

Ninyi wengine mna wezaje?
Wengine mto ni kwaajili ya kuperuzi na kupitia kurasa mbili tatu baada ya hapo nikuuweka pembeni then usingizi.
 
Mimi binafsi siwez lala bila mto

Siwezi lala uchi yaan mali zangu ziwe naked kabisa siwez lazima nilale na bukta au pensi

Siwez lala taa ina waka

Siwezi lala mwanzoni mwa kitanda lazima nianguke

Siwez lala uku mziki una imba no

Ninyi wengine mna wezaje?
Bila pillow au bila Chupi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom