miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
naapa kiukweli uchomoki kule
au alikuwa na maana hii, bachelor = single; masters= double; phd=triple
Hebu ngoja Balacuda aje atupe uzoefu wake...
ni hivi aliyeona kaona anaweza kumsaidia asiyejua kuna nini huko ila mgogoro mkubwa wa hayo mambo yako kwenye imani ya mtu, kama ukiammini ndoa inatoka kwa mwanadamu inaweza isikusumbue kichwa ila ukiamnini ndoa inatoka kwa Mungu ndo hapo utajua mbivu na mbichi. mtu anayejua ndoa imetoka kwa wanadamu si ngumu sana kuogopa ikibomoka na ndoa nyingi ambazo hazina migogoro either wote wawe subjet to God fear au kama sivyo ule anayedhani hatendewi haki akiwa muoga wa kuchukua maamuzi ndo anazidi kumpa nguvu yule anayemuonea kuzidi kumkandamiza ila kama una na pale mwenzio akigundua hauwezi kuvumilia uchokozi wa kijinga atatulia ila akiona unendelea kuvumilia ujinga ndo anazidisha
ndiyo mnamanynyaso ndo maana hata wnawake wanaamua kuwaloga na kuwafanya mazezeta
huu ni zaidi ya ushauri! unaweza kutupa cv yako mkuu Balacuda? na ushairi liykwishatoa na mafanikio uliyoyapata? nikiwa na kesi au na mgogoro nitakutafuta......................au wewe paroko?ni hivi aliyeona kaona anaweza kumsaidia asiyejua kuna nini huko ila mgogoro mkubwa wa hayo mambo yako kwenye imani ya mtu, kama ukiammini ndoa inatoka kwa mwanadamu inaweza isikusumbue kichwa ila ukiamnini ndoa inatoka kwa Mungu ndo hapo utajua mbivu na mbichi. mtu anayejua ndoa imetoka kwa wanadamu si ngumu sana kuogopa ikibomoka na ndoa nyingi ambazo hazina migogoro either wote wawe subjet to God fear au kama sivyo ule anayedhani hatendewi haki akiwa muoga wa kuchukua maamuzi ndo anazidi kumpa nguvu yule anayemuonea kuzidi kumkandamiza ila kama una na pale mwenzio akigundua hauwezi kuvumilia uchokozi wa kijinga atatulia ila akiona unendelea kuvumilia ujinga ndo anazidisha
na darasa la saba?
hivi ni kweli wanaume ndiyo wanawatesa wanawake au wote tunatesana
!
!
stori zaidi ziko humu kichwa cha habari jibu la jana, "nipigie kesho nimelala" na nyingine jibu la leo, unikome na nione namba yake kama kituo cha polisi....mwisho wake nilijitetea mno na nikaomba msamaha mno lakini hakunielewa akanimwaga tarehe. Nikakubali matokeo,ajabu kesho yake akanitext akiniomba nimpigie nikamkaushia, akanitext akiomba anipigie nikakausha akaniandikia text nyingine kupiga mzinga......sikujibu chochote nikamtumia nikakausha. Yani hakukuwa hata na asante au hata kama imefika,duh hadi leo.
Na sitamuuliza lolote
mkuu, ndo nataka kukata shauri...lazma kieleweke tu...
Nishachoka kuwa seniour bachelor..
hilo la kuhusu kuwekwa kwenye chupa ni fani za watu
Muulize DEMBA
haaa haa haaa Chinga One huyu Excel atakuwa team bachelor tu coz huwa anachelewa sana kulala
Still a bachelor