MMU team bachelors Vs team wasio kua bachelors.

aisee ndugu Eli79 ujue bado nina shida sana, nimekuwa nisiyejielewa. Baada ya christmas nilipata kisanga hicho, nikiwa na muda nitashare tena na nyie!!

kunitunza bado naona kama ni ngumu sana! afu miss its look like wengi mnajua kama mimi huwa na joke ndiyo maana kila kitu mnakichulia kwa wepesi sana!!!

i know ure serious Tembosa aand i feel sad for you... na nilikuwa tayari kusaidia ila nilitaka wewe uwe tayari na si kwa sababu ya rafiki zetu wengine... ila just give time every thing will be okey
 
Mwaka huu lazima kieleweke, kurudi kwa wazamani au kupata brand new. Unajua vitu vingine ni maamuzi tu, na kutune. Lets tune! lol
 
Chukua mfano kwa wazazi wako nani amepata kichaa wamevumiliana mpaka umekuwa umeweza hadi kutoa comment humu why wewe ushindwe?

wazazi wangu wpo okey.... ila na ndugu yangun mkewe kawa chizi nz presha juu mateso anayopta kwa mumewe
 
unaweza ukadhani ni mateso ikawa yupo kwenye msongo wa mawazo tu (meno yamepandiana)ila atarudia katika hali ya kawaida baada ya muda
 
Mwaka huu lazima kieleweke, kurudi kwa wazamani au kupata brand new. Unajua vitu vingine ni maamuzi tu, na kutune. Lets tune! lol

lakini ni vizuri ku tune up hiyo station kwa uangalifu maana past na brand new zaweza kuwa sawa
 
wazazi wangu wpo okey.... ila na ndugu yangun mkewe kawa chizi nz presha juu mateso anayopta kwa mumewe
Sasa huyo mmoja ndo akukatishe tamaa? huyo atakuwa alienda na shoka wakt kisiki kinahitaj kijiko halafu muda mwingine tafuta kichaka ambacho unauwezo nacho,kulingana na nguvu ulizonazo,ukitafuta kichaka chenye visiki vingi wkt unajua afya yako ni mgogoro lazima kichakaa kikutoe damu!
 
Mwaka huu lazima kieleweke, kurudi kwa wazamani au kupata brand new. Unajua vitu vingine ni maamuzi tu, na kutune. Lets tune! lol

mh!lakini ni vizuri ku tune up hiyo station kwa uangalifu maana past na brand new zaweza kuwa sawa
 
Hahahaaaa....Usifanye judgement kwa namna hiyo usijekuta wew ndo mdogo kwangu avatar haina mahusiano yoyote na uhalisia

Nilikutega ufunguke bachelor wangu,, thanx for the info....
 
unaweza ukadhani ni mateso ikawa yupo kwenye msongo wa mawazo tu (meno yamepandiana)ila atarudia katika hali ya kawaida baada ya muda

many years now huyu mama ukimwona ni huruma ila maswala ya ndoa yanatisha sana kiukweli me ni jambo ambalo sitaki kukimbilia kabisa
 
tabu si kukimbilia ila ni je! Umempata mwenzi sahihi? Mapenzi/ndoa siku hizi yamekuwa fashion show. Wapenzi hawajui majukumu yao. Wanadhani kutamka nakupenda ndiyo umemaliza. Ila mwombe Mungu naye atakupatia kilicho chema. Ingawaje mda mwingine tunapitia matatizo ili tufike mahali fulani
 
Sasa huyo mmoja ndo akukatishe tamaa? huyo atakuwa alienda na shoka wakt kisiki kinahitaj kijiko halafu muda mwingine tafuta kichaka ambacho unauwezo nacho,kulingana na nguvu ulizonazo,ukitafuta kichaka chenye visiki vingi wkt unajua afya yako ni mgogoro lazima kichakaa kikutoe damu!
mmh lakini bado
 
Back
Top Bottom