huu ni zaidi ya ushauri! unaweza kutupa cv yako mkuu Balacuda? na ushairi liykwishatoa na mafanikio uliyoyapata? nikiwa na kesi au na mgogoro nitakutafuta......................au wewe paroko?
hapana majaribu ndo yamenifikisha kwenye upeo huo
huu ni zaidi ya ushauri! unaweza kutupa cv yako mkuu Balacuda? na ushairi liykwishatoa na mafanikio uliyoyapata? nikiwa na kesi au na mgogoro nitakutafuta......................au wewe paroko?
rafiki mtoa mada anataka kuwe na sehemu inaonyesha status mtu aliyeko kwenye ndoa na ambao bado ili pale mtu anapochangia ujue kabisa katoka kitengo kipi na ushauri uchukuliwe kwa namna hiyo hiyo
Mimi nitaomba kuwa Non-Aligned!!!!
kwenye ndoa nakubaliana na yote ila swala la kuvumiliana nalipinga mpaka mwisho
Naskia hata mheshimiwa redio(mama wa watoto wa ndege ) pale mjengoni ni senior bachelor...
miss chagga weee! Hii kauli yako mbona yanitaza?
kwa nini rafiki uvumilivu huwa unaisha lazima hilo ujue rafiki na me nikiwa na mpenzi akiniambia ananivumilia i must think twice. kwa sababu najua utaisha soon na kinachofuatwa ni kuachika
haaa haa haaa Chinga One huyu Excel atakuwa team bachelor tu coz huwa anachelewa sana kulala
Mwaka huu lazima kieleweke, kurudi kwa wazamani au kupata brand new. Unajua vitu vingine ni maamuzi tu, na kutune. Lets tune! lol
haaaa haaa haaaa wewe naona wajipigia debe hapa eeeh
akuuuuuuu!!! usinifundishe tabia mbaya miewala sio debe...!! sincerely nimemaanisha!
just say this in PUBLIC..!! like, excel I LOVE YOUUUUUUUU!!!
halafu uone atakayegeuka kukuangalia!!
akuuuuuuu!!! usinifundishe tabia mbaya mie