MMU team bachelors Vs team wasio kua bachelors.

MMU team bachelors Vs team wasio kua bachelors.

mmmmhhh
!
!
kimsingi najiamini niko vizuri katika sekta hiyo, nishapiga mechi nyingi sana tofauti na wote huridhika tu vizuri.
Nilihakiki hili kwani nishamega mademu marafiki pair kadhaa kwa ajili ya kuhadithiana na kutaka kuprove nikoje.
Ni kwamba pia Sometimes we ve got to move on without certain people, and if they meant to be ours they will catch up
 
brenda18 mi nimeoa jamani..hapa hoja wanataka nini hasa? ww mwenyewe unaonaje

yan aka kamada inshort kamekuja ili tu tujue wangap wapo singo.....huu mwaka umeanza kwa mbwembwe nying za ndoa sijui mpaka disemba itakuaje....nyie mliooa muwe mashahid apa
 
Last edited by a moderator:
wanataka kuwe na sehemu ya kuonyesha status za watu hasa kipengele cha walioko kwenye ndoa tayari na
ambao bado

Asante kwa kunielewesha
Nilikuwa sijaelewa kabisa

Sasa itakuwa na maana gani?
Kama watu tu wanadanganya kuhusiana na jinsia zao itakuwa hilo?
 
!
!
stori zaidi ziko humu kichwa cha habari jibu la jana, "nipigie kesho nimelala" na nyingine jibu la leo, unikome na nione namba yake kama kituo cha polisi....mwisho wake nilijitetea mno na nikaomba msamaha mno lakini hakunielewa akanimwaga tarehe. Nikakubali matokeo,ajabu kesho yake akanitext akiniomba nimpigie nikamkaushia, akanitext akiomba anipigie nikakausha akaniandikia text nyingine kupiga mzinga......sikujibu chochote nikamtumia nikakausha. Yani hakukuwa hata na asante au hata kama imefika,duh hadi leo.
Na sitamuuliza lolote

aiseee...new beginning..aya kila la kheri
 
Asante kwa kunielewesha
Nilikuwa sijaelewa kabisa

Sasa itakuwa na maana gani?
Kama watu tu wanadanganya kuhusiana na jinsia zao itakuwa hilo?
maana ya mtoa mada ni kwamba ukipewa ushauri ujue ni ststus ipi imeto na uuchkulie kwa namna hiyo hiyo.
 
Asante kwa kunielewesha
Nilikuwa sijaelewa kabisa

Sasa itakuwa na maana gani?

Kama watu tu wanadanganya kuhusiana na jinsia zao itakuwa hilo?

unaona sasa...ndo maana nikasema sidhani kama utapenda kuyajua LOL
 
Back
Top Bottom