MMU team bachelors Vs team wasio kua bachelors.

MMU team bachelors Vs team wasio kua bachelors.

Ndoa ni raha sana kama utampata ambaye mnaendana mtakosana na kupatanaaa sijaingia huko ila kuna jamaa yangu nikiangalia ndoa yake mpaka unatamani uwe wewe muda wote wanafuraha na sijawahi enda kwake nikanotice kama kuna ugomvi japo huwa wanazinguana lakini wanavumiliana kila mmoja amemkubali mwenzake na yuko free kwenda naye popote, sasa ukiwa na mke halaf kwenye mitoko unatafuta mwingine ni majanga,cha msingi ni kujua hitaji lako katika ndoa nini kama haujui ndo shida inaanzia hapo!
hapo kwenye rangi hapo ndo napingana nako kabisa na ninaamini uvumilivu huwa uanisha.... je uvumilivu ukiisha innakuaje?
 
Hebu twende pale mikahawani nikakupe lecture hapa tumevamia sredi ya watu ujue

twende mikahawanoi basi nakusubiria usisahau kupiga mluzi huku ukiwa unaimba rege ya luckdube stand up for your right sawa nadhani unaujua
 
umekuja kivingine. Ulisema unaogopa ndoa na mda huu huamini kuna raha katika ndoa. Naomba niambie ndoa ni nini? Na hilo neno ndoa linasimama badala ya nini?

ndoa ni watu wawili kukubaliana kuishi pamoja kwa shida na raha na kufanya maendelao,,,, ila now days ndoa ni karaha kabisa mwanaume wanatesa sana wanawake. sitaki hii kitu ndo ndoano huu msemo unamaanisha shida katika ndoa
 
hivi ni kweli wanaume ndiyo wanawatesa wanawake au wote tunatesana
 
!
!
kaka mie ni himself!...demu wangu kanimwaga teh teh teh teh ajabu baada ya kunimwaga tu kesho yake tarehe 31st nikapigwa mzinga wa ukweli. Aaah kiroho safi tiGO pesa iko wapi nshaaaaaaaaa nikatoa halafu hata asante sikupewa wala kuambiwa kama imefika hahahahahahaha mademu bwana

Mwanaume utaachwaje na binti? au braza kaka ulikua haupigi show ya ukweli? take it as a lesson next time uwe unasimamia mzigo kikamilifu....ila pole kwa kukimbiwa..
 
!
!
kimsingi najiamini niko vizuri katika sekta hiyo, nishapiga mechi nyingi sana tofauti na wote huridhika tu vizuri.
Nilihakiki hili kwani nishamega mademu marafiki pair kadhaa kwa ajili ya kuhadithiana na kutaka kuprove nikoje.
Ni kwamba pia Sometimes we ve got to move on without certain people, and if they meant to be ours they will catch up

Mwanaume utaachwaje na binti? au braza kaka ulikua haupigi show ya ukweli? take it as a lesson next time uwe unasimamia mzigo kikamilifu....ila pole kwa kukimbiwa..
 
Back
Top Bottom