Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,352
- 25,003
Upo upo kwanza unasuburi nini?unataka kuwa double usijetamani ubachelor tena...... bado nipo nipo kwanza
Upo upo kwanza unasuburi nini?unataka kuwa double usijetamani ubachelor tena...... bado nipo nipo kwanza
Upo upo kwanza unasuburi nini?
Kwani ukiolewa maisha hayaliki? ndoani siyo jela rafikinakula maisha kwanza bwana
Kwani ukiolewa maisha hayaliki? ndoani siyo jela rafiki
Acha uoga ww ukiingia chaka shart uwe na fyekeo,shoka unaenda kufyeka majani yote na kung'oa visiki vyote,tatzo unataka akung'olee mwenzio ili upakute pasafi kwako iwe mteremkondoa ni kifungo huru rafiki nikiogopa mbya zaidi ukute umeingia chaka ni balaaa
Acha uoga ww ukiingia chaka shart uwe na fyekeo,shoka unaenda kufyeka majani yote na kung'oa visiki vyote,tatzo unataka akung'olee mwenzio ili upakute pasafi kwako iwe mteremko
Acha uoga ww ukiingia chaka shart uwe na fyekeo,shoka unaenda kufyeka majani yote na kung'oa visiki vyote,tatzo unataka akung'olee mwenzio ili upakute pasafi kwako iwe mteremko
Hebu ngoja Balacuda aje atupe uzoefu wake...
Kila la heri..
Hakuna kisichong'oleka ukiona hivyo umeingia na vifaa duni inatakiwa ufanye utafiti ujue nia aina gani ya visiki viko huko viski vya kung'olewa kwa kijiko huwezi kutumia shoka utafeliha ha ha kuna visiki vingine having'oleki...
Usiogope mambo ya kawaida si unajua watu wenyewe tunakutana ukubwani kila mtu kalelewa katika maadili tofauti automatically hata misimamo lazima tutofautiane ndo maana neno uvumilivu linapochukua nafasi yake!mmh kuna wengine utafikiria umeingia kuzimu ndogo yani umetengeneza jehanamu yako
Usiogope mambo ya kawaida si unajua watu wenyewe tunakutana ukubwani kila mtu kalelewa katika maadili tofauti automatically hata misimamo lazima tutofautiane ndo maana neno uvumilivu linapochukua nafasi yake!
Daudi1 usiseme hivyo kuna vingine ni balaaa weweHakuna kisichong'oleka ukiona hivyo umeingia na vifaa duni inatakiwa ufanye utafiti ujue nia aina gani ya visiki viko huko viski vya kung'olewa kwa kijiko huwezi kutumia shoka utafeli
Mkuu, miss chagga ni mtani wangu...
Nilienda nae chemba akanipa dits zote...
Hajaolewa, hana bwana na anakusubiri wewe...teh!
Chukua mfano kwa wazazi wako nani amepata kichaa wamevumiliana mpaka umekuwa umeweza hadi kutoa comment humu why wewe ushindwe?uvimilivu huwa unaisha kabisa loh unaweza vumilia mwisho wa siku ukapata ukichaa mweee maisha mafupi lkutesana ndo nini
Hakuna kisichong'oleka ukiona hivyo umeingia na vifaa duni inatakiwa ufanye utafiti ujue nia aina gani ya visiki viko huko viski vya kung'olewa kwa kijiko huwezi kutumia shoka utafeli