MMU team bachelors Vs team wasio kua bachelors.

MMU team bachelors Vs team wasio kua bachelors.

wewe ni rafiki yake tembosa wewe sasa ukitaka kujua tabia ya mtu anagalia rafiki yaki uchelewi kugoma kuoa baada ya kukumbuka cha zamani hehehehe
ha ha ha
hivi Tembosa, my best friend keshafanya ile homework nilompa?
marafiki si lazma wawe na tabia sawa, mimi niko tofauti..mwaka huu lazma nimalize huu mjadala!!
Am giving u a chance!
 
Last edited by a moderator:
Kwani hapa MMU ushauri pekee utolewao ni wa kindoa tu?
 
ha ha ha
hivi Tembosa, my best friend keshafanya ile homework nilompa?
marafiki si lazma wawe na tabia sawa, mimi niko tofauti..mwaka huu lazma nimalize huu mjadala!!
Am giving u a chance!
am waiting for Tembosa to propase mpaka mwezi wa sita ikiwa bado nitarudi kwako rafiki.... bado vanesa ajamtoka kichwani vizuri ngoja akirudi kuhesabiwa inaweza kuwa heri kwangu tusubiri kidogo
 
mh sasa inahusu nini ushauri ukitoka kwa mwanandoa au mtu aliye singo?USHAURI,NI USHAURI TU!!UKITOKA KWA YOYOTE!
 
Am a junior barchelor with marital status of "worried"
 
mimi nina masters..!

kundi langu likogo wapi vile?
 
am waiting for Tembosa to propase mpaka mwezi wa sita ikiwa bado nitarudi kwako rafiki.... bado vanesa ajamtoka kichwani vizuri ngoja akirudi kuhesabiwa inaweza kuwa heri kwangu tusubiri kidogo

Mwezi wa sitaaaa?
mi nisubiri tuuu, afu wanifanya mie plan B sio? lol
 
Back
Top Bottom