MMU team bachelors Vs team wasio kua bachelors.

MMU team bachelors Vs team wasio kua bachelors.

tabu si kukimbilia ila ni je! Umempata mwenzi sahihi? Mapenzi/ndoa siku hizi yamekuwa fashion show. Wapenzi hawajui majukumu yao. Wanadhani kutamka nakupenda ndiyo umemaliza. Ila mwombe Mungu naye atakupatia kilicho chema. Ingawaje mda mwingine tunapitia matatizo ili tufike mahali fulani
aya na ninamwomba Mungu sana
 
Naona itakuwa ngumu,yaani unashauriwa unaenda kurefer status ya mshauri hah!
Kama unataka ushauri utapokea wa yeyote then uchanganye na za kwako ila kama unataka kujua status za members hiyo sasa ni habari nyingine.

Swali linakuja sasa, hizo status anazotaka kwa washauri je atazipata? Jamaa hataki kushughulisha ubongo wake ana akili za kukamatiwa na hataki ushauri ila anataka kupima watu.
 
bado siamni kama ndoa ni raha
Ndoa ni raha sana kama utampata ambaye mnaendana mtakosana na kupatanaaa sijaingia huko ila kuna jamaa yangu nikiangalia ndoa yake mpaka unatamani uwe wewe muda wote wanafuraha na sijawahi enda kwake nikanotice kama kuna ugomvi japo huwa wanazinguana lakini wanavumiliana kila mmoja amemkubali mwenzake na yuko free kwenda naye popote, sasa ukiwa na mke halaf kwenye mitoko unatafuta mwingine ni majanga,cha msingi ni kujua hitaji lako katika ndoa nini kama haujui ndo shida inaanzia hapo!
 
aisee ndugu Eli79 ujue bado nina shida sana, nimekuwa nisiyejielewa. Baada ya christmas nilipata kisanga hicho, nikiwa na muda nitashare tena na nyie!!
Tembosa, life's full of challenges...no matter how many times you fall, you've got to stand up, dust yourself off and try again...hujielewi kwa sababu gani, Vannesa bado anautesa moyo wako? find a new path mkuu.

kunitunza bado naona kama ni ngumu sana! afu miss its look like wengi mnajua kama mimi huwa na joke ndiyo maana kila kitu mnakichulia kwa wepesi sana!!!
Nina uhakika upo serious, maisha ni kuchagua..ila nahisi unachagua ku dwell in the past...
I seriously think you need to get yourself out of drama with V, baada ya hapo itakuwa rahisi kuona kwingine, i can set a date between you and miss chagga if you don't mind, teh!
 
!
!
mie nimeachika muda mfupi kabla ya mwaka mpya, kwa hiyo automatically najikuta nasaport team bachelors
 
Mkuu, miss chagga ni mtani wangu...
Nilienda nae chemba akanipa dits zote...
Hajaolewa, hana bwana na anakusubiri wewe...teh!

Tembosa, life's full of challenges...no matter how many times you fall, you've got to stand up, dust yourself off and try again...hujielewi kwa sababu gani, Vannesa bado anautesa moyo wako? find a new path mkuu.

Nina uhakika upo serious, maisha ni kuchagua..ila nahisi unachagua ku dwell in the past...
I seriously think you need to get yourself out of drama with V, baada ya hapo itakuwa rahisi kuona kwingine, i can set a date between you and miss chagga if you don't mind, teh!

u know her well eeh!!
 
!
!
kaka mie ni himself!...demu wangu kanimwaga teh teh teh teh ajabu baada ya kunimwaga tu kesho yake tarehe 31st nikapigwa mzinga wa ukweli. Aaah kiroho safi tiGO pesa iko wapi nshaaaaaaaaa nikatoa halafu hata asante sikupewa wala kuambiwa kama imefika hahahahahahaha mademu bwana

Ume achika na mumeo au umeachika na mkeo?
 
!
!
kaka mie ni himself!...demu wangu kanimwaga teh teh teh teh ajabu baada ya kunimwaga tu kesho yake tarehe 31st nikapigwa mzinga wa ukweli. Aaah kiroho safi tiGO pesa iko wapi nshaaaaaaaaa nikatoa halafu hata asante sikupewa wala kuambiwa kama imefika hahahahahahaha mademu bwana

eti...alikuacha afu tigo pesa ikaweje????....samahani nimejikuta nimenogewa...eb nithimulie
 
eti...alikuacha afu tigo pesa ikaweje????....samahani nimejikuta nimenogewa...eb nithimulie

!
!
stori zaidi ziko humu kichwa cha habari jibu la jana, "nipigie kesho nimelala" na nyingine jibu la leo, unikome na nione namba yake kama kituo cha polisi....mwisho wake nilijitetea mno na nikaomba msamaha mno lakini hakunielewa akanimwaga tarehe. Nikakubali matokeo,ajabu kesho yake akanitext akiniomba nimpigie nikamkaushia, akanitext akiomba anipigie nikakausha akaniandikia text nyingine kupiga mzinga......sikujibu chochote nikamtumia nikakausha. Yani hakukuwa hata na asante au hata kama imefika,duh hadi leo.
Na sitamuuliza lolote
 
Back
Top Bottom