PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,202
- 8,787
Ni enzi hizo Mkuu!Mkuu PJ,
Kwani siku hizi waumini wa kawaida wa katoliki nao wanawafanyia wenzao maombi? mi nakumbuka enzi zile nikisali katoliki nilikuwa nakwenda kwa padri ndio ananifanyia maombi!! Just curious.
