Nawatakia siku njema na yenye mafanikio

Nawatakia siku njema na yenye mafanikio

sethdias

Member
Joined
Aug 26, 2026
Posts
7
Reaction score
34
Namshukuru Mungu nimeamka salama na tayari kwa majukumu ya siku mpya.

Nawatakia siku njema na yenye mafanikio. Kama unapitia changamoto yoyote, iwe afya, uchumi, familia au vinginevyo, Basi, Mungu wa mbinguni akukumbuke katika hitaji lako.
Yeremia 29:11
Siku njema,,!
 
Back
Top Bottom