Mmu nawatakia ashy wednesday njema

Hivi kongoro ni nyama?

Dena u mavumbi wewe na mavumbini utarudi.

Leo sitakunywa biya, naahidi.
 
MMU SPECIAL.!! Kwa wale wenzangu wa RC nawatakia Jumatano njema ya majivu. Plz do'nt forget "Funga Jumatano ya majivu" Usile nyama siku ya Ijumaa Kuu. Siku njema

Shem kumbe na wewe uko vizuri katika mambo ya dini!? mi nilifikiri not reachable!!

Ahsante kwa kuwakumbusha wakatoliki wenzako, inaonekana wengi walikuwa hawana taarifa hii.
 
MMU SPECIAL.!! Kwa wale wenzangu wa RC nawatakia Jumatano njema ya majivu. Plz do'nt forget "Funga Jumatano ya majivu" Usile nyama siku ya Ijumaa Kuu. Siku njema
Kumbe???? Leo ndio mnaanza kufunga?
 
Back
Top Bottom