The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
Nawakumbusha wakatoliki/wakrito kesho ni Jumatano ya majivu. Asanteni wapendwa katika Yesu
shukrani

Asante. Hakika binadamu u mavumbi na mavumbini utarudi.
Tujinyenyekeze mbele zake, kwaresma hii naomba tujigaragaraze mavumbini na kutambua we are not worthy. Tunajikataa kabisa na kutenda yale si ya nafsi zetu (Denial)
Kwarema yenye tija kila moja
Halafu amka uende church acha uvivu. Hujambo lakini nimekimisije?