Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
- Thread starter
- #101
Aaanzishe interview zake za ki CAMROON awalike wageni zake mabasha afu ndo awaulize maswali kama hayo WATAMJIBU KWA VITENDO!
hahahha spare my ribs

hahaha kwangu ku try ngumu lazima lazima nijue kama future ipo hahaha
Qn 15. Je kuna ndoa zinakuinspire
labda na kukutamanisha uolewe
maybe? Anyting unataka kusema
kuhus ndoa maybe? Otherwise
nashukur sanaa kwa kushiriki.
Kuna watu wanakera bwanaaa! Mtu hata kujistuki aseme ajistahi mbele za watu hapa afiche aibu yake, kakalia kupayuka payuka mambo ya kipuuzi tu! Eboooo!mkuu ban nje nje hapa
Aaanzishe interview zake za ki CAMROON awalike wageni zake mabasha afu ndo awaulize maswali kama hayo WATAMJIBU KWA VITENDO!
Mbona maswali yanzidi kuwa marahisi...aulizwe kama anatumia 0713 basi
Jiheshimu uheshimiwe kama wewe mwendawazimu usidhani wote mxeeeeeeew.
Duh! Mkuu Lara 1, mbona unaua sisimizi kwa tembo?
interview masaa matatu na nusu ? na member tutumie muda gani
......mmmh!!. Ndo maana naipenda JF, hapa tunaona herufi tu kesho naweza kukuta kumbe ni mchepuko wangu, ebu niwe mpole nisome maandishi.
Mimi huwa sidai ndoa wala sina kimuhe muhe cha kuolewa karibuni, mahusiano yangu naenjoy sana sababu hayana deni wala expectations tunafocus kwenye kuenjoy wakati tuliopo sio possibility za huko mbele, hiyo imenifanya niwe na appreciate mambo mazuri nayotendewa badala ya kukaa na kuhesabu vitu ambavyo sijatendewa you should try it sometimes too.
Jiheshimu uheshimiwe kama wewe mwendawazimu usidhani wote mxeeeeeeew.
does this answer still holds when u date a single man (who is not married)? Or it is applicable because u er dating a married man since there is no way u can have him forever that's why u have no reason for expectations