LebronWade
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,615
- 1,510
NAKUGURANTEE,,NEXT HOT TALK WILL NEVER BE THE SAME......
MY PREDICTION`S ON NEXT HOT TALK
CC:BATTALION COMMANDER OUT OF AMMUNITION ( lara 1)
- INTERVIEWEE WILL BE VERY PRE-CAUTIOUS
- A VERY NEW/UNKNOWN INTERVIEWEE
- PROBABLY NEVER WILL BE ANOTHER ONE
Ndio nasema hivi huwezi jua kama mimi ni mtu mzima au mtoto...
sababu unijui na mimi si NK ...NK ni jina la mtandaoni...
Sijaona popote nilipozidisha dozi...
I just called a spade by its name...
Si kila issue ni kubembelezana...'oohh mdogo wangu acha si vizuri kuchukua waume za watu'
Wakati mwingine kutumia 'za uso strategy' ina work zaidi...
Na nshasema before and i repeat...sitaki huruma ya kuwa naharibu heshima...
Huwezi jua kama nina hiyo heshima at first place
Save your pity for those who need it
Ndo unatakiwa useme sasa hata kama hufanyi....yan hata kama huna boifrend sema ninao watatu na mmojawapo ni mume wa mtu. Huo ndo ukweli ukisema vinginevyo we ni mnafiki na unatafuta soko lol
Kumbe unajua hatujuani...Mh!!! utakuwa na tatizo ndugu yangu, kuchangia humu ndani si lazima mfahamiane, ni kila mtu mwenye upeo anaruhusiwa. Upo sawa kweli???? maaanaaaa???????:angry::angry::angry::angry:
I'm cold chillin' hommie....
Just flabbergasted to see this claptrap going on.
But then again I shouldn't be all that surprised.
hommie,yo' gal lara1 has been in this thing f'yearz,it made her an animal,her and her gal angelita made rulez to this shit makin 'em all b**tchez bow down...
Kumbe unajua hatujuani...
Why now unani compare na hao heroes wako kuwa mimi mzee kwao??? mara najivunjia heshima kama unajua kuwa ninayo vile...next time jipange...wengine humu tuna vifua extra:angry:
Hahahaa, welp, join the club (the senior citizen club that is)!
Kumbe unajua hatujuani...
Why now unani compare na hao heroes wako kuwa mimi mzee kwao??? mara najivunjia heshima kama unajua kuwa ninayo vile...next time jipange...wengine humu tuna vifua extra:angry:
Pole sana, ninashukuru nimekufahamu mind yako kupitia huu uzi, nilikuwa najua unaheshima sana kume hamna kitu, ila utakuwa na tatizo , na umeamua kumalizaia hapa hasira zako hata kwa watu ambao hawahusiki, mm nilkuwa nataka kukusihi uache kubishana nao, naona umeamua kujibizana nami, tafadhali mm nina amani ya moyo na roho, kazi kwako wewe , inaonyesha una matatizo makubwa, nenda kaombewe upate amani.
...I could tell...a new footsoldier wanted to buy the case at a bargain price....unfortunately...she met a seller who lead the market...
ha ha ha senior mwenzangu 50yrs old!!!...uko poa?
Hahahahaaaaaaaaaa!!!!Nimeamini kweli wewe unamatatizo, tena kwenye ndoa na ndiyo maana unakuwa mkali kupita kiasi, au umezalishwa ukaachwa hapo chini na watoto unahangaika nao, (Kama walivyokuwa wanakwambia) pole sana sasa hilo si suluhisho la kumbadili mumeo, tazama wapi umekosea na rekebisha, usigombane na wasichana utaumbuka. pole sana.Keep your advice to yourself...
Wengine kubishana ni hobby...!
Ungekuwa unanifatilia humu JF ungeshalijua hilo...napenda ubishi ...
Najua huwezi nifuatilia zaidi ya huu uzi kwani wewe unachovutiwa nacho ni mada kama hizi tu hili uwape shavu like minded wenzio...
Kama ulijua uhusiki ulichomoza pua yako humu ya nini...poye mama....
Hahahahaaaaaaaaaa!!!!Nimeamini kweli wewe unamatatizo, tena kwenye ndoa na ndiyo maana unakuwa mkali kupita kiasi,
Hahahahaaaaaaaaaa!!!!Nimeamini kweli wewe unamatatizo, tena kwenye ndoa na ndiyo maana unakuwa mkali kupita kiasi, au umezalishwa ukaachwa hapo chini na watoto unahangaika nao, (Kama walivyokuwa wanakwambia) pole sana sasa hilo si suluhisho la kumbadili mumeo, tazama wapi umekosea na rekebisha, usigombane na wasichana utaumbuka. pole sana.
Nambie cousin i was busy na outing you know hafu mabishano siya wezi kabisa
Really? Yaani kupitia mabandiko yake humu tena kwa jina bandia lakini wewe umeamini kwamba ana matatizo kwenye ndoa yake?
You must be gifted!
The question is ana uhakika hata wa hiyo ndoa? Na anajuwaje jinsia yake?
geniveros mbona umefuta comment zako nzuri? Umechimbiwa mikwala uko pm?
The question is ana uhakika hata wa hiyo ndoa? Na anajuwaje jinsia yake?
Hahahahaaaaaaaaaa!!!!Nimeamini kweli wewe unamatatizo, tena kwenye ndoa na ndiyo maana unakuwa mkali kupita kiasi, au umezalishwa ukaachwa hapo chini na watoto unahangaika nao, (Kama walivyokuwa wanakwambia) pole sana sasa hilo si suluhisho la kumbadili mumeo, tazama wapi umekosea na rekebisha, usigombane na wasichana utaumbuka. pole sana.