MMU hot talk

MMU hot talk

Kuchangia tayari? Mbona Tumboo anakua offside?
 
Last edited by a moderator:
Mnaona sasa mmesabisha hot talk imeishia njiani,mnawafanya wapate tabu kupapasa maswali.Hivi ile iliyopita kuna jamaa Alikuwa monitor mzuri kweli.Embu tulieni kwanza jamani
 
mmmh

5 unafikiri mtu kabla hajasema YES I DO kipi cha muhimu cha kuzingatia
 
Back
Top Bottom