MMU hot talk

MMU hot talk

Qn 6. Since hujaolewa, are you a
sleeping around typ of girl ambae una
date, mingle, having some fun, being
reckless, being young and
irresponsible or you are a church type
of girl waiting for prince charming,
unakuwa makini na kila unachofanya
incase prince comes akukute msafi
kama theluji! lol! We ni yupi kati ya
hawa na kwanini?
 
miss neddy

Hahahaaaaaaaaa..... Naomba niwe mkweli tu, Mimi ni mtu nayetumia ujana wangu ipasavyo sitaki kupitwa na bwana Pepsi badaye nije nibemende watoto wa watu. We only live once sitaki kujutia huko mbele I think I will get away with this.
 
Last edited by a moderator:
hahahaha haya usije ukazeeka ndo uanze ku act ka jlo am kidding
Qn 7. Umewahi kutoka na mume wa
mtu? Ilikuwaje? Una regret zozote?
 
Mkuu miss neddy swali la 6 kizungu kingi jaribu kupunguza
 
Last edited by a moderator:
Mkuu miss neddy swali la 6 kizungu kingi jaribu kupunguza
 
Last edited by a moderator:
hahahaha haya usije ukazeeka ndo uanze ku act ka jlo am kidding
Qn 7. Umewahi kutoka na mume wa
mtu? Ilikuwaje? Una regret zozote?

Sio nimewahi ninatoka nae hata sasa na nafurahia kuwa nae, hanigandi, ananithamini napata vyote nitakavyo, ananipenda na anapenda kuwa na mimi yaani tunapendana bahati mbaya ameshaoa.
Naregret kwanini hakuniona Mimi kabla ili tuenjoy life kwa Uhuru life can be unfair wakati mwingine.

(Anayejiona mtakatifu ndo anirushie jiwe, usinihukumu kwasababu tu tunatenda dhambi kitofauti, dhambi ni dhambi tu)
 
umejiandaa na OFM lakini anyday wataku suprise am kidding lol
Qn 8. Kitu gani mwanaume akifanya au
sema kina seal the deal, unaamua
hapa game anapata huyu zo.ba!
Hahahaaaa! Yaani hiko kitu
kinakufanya urudishe moyo nyuma!
 
umejiandaa na OFM lakini anyday wataku suprise am kidding lol
Qn 8. Kitu gani mwanaume akifanya au
sema kina seal the deal, unaamua
hapa game anapata huyu zo.ba!
Hahahaaaa! Yaani hiko kitu
kinakufanya urudishe moyo nyuma!

Hahahahahaaa nimejiandaa vya kutosha.

Mwanaume mkweli muwazi, asiyenificha anayefunguka kuhusu maisha yake.
Asiwe mbana pochi hahahaaaa
 
Back
Top Bottom