LebronWade
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,615
- 1,510
Hahahaaaaaaaa! TOO LITTLE FOR MY LEAGUE! BRIGEDIA GENERAL Saivi naingia in command, wont have time for your little chatts! Sorry but I GOT TO FOCUS!
Wanaomba poo kiaina...
Hapo wanaombea wafungiwe ili wasionekana wamekimbia mziki mkubwa...
Na Mods wamekauka...
hawa si watoto ni watu wazima wanaoishi maisha ya kuigiza akina wema sepetu
Tatizo lenu ndo hilo mkipewa ukweli mnakimbilia kwenye matusi au na hiyo inakuongezea cv?!!!...maana cv zenu za kishamba mnazitoa kubrag kwenye mambo ya kishamba kishamba tu, hapo nlipopigia mstari ndo shida nyingine ilipo kujulikana JF nayo ni dili sana..!!?? au mnafanya haya humu ili mjulikane..?! then mkishajulikana nini kinafuata..?
Haaaaaa miss neddy next time swali la mume wa mtu lisiwepo au hata ukiulizwa sidhani kama jibu honest litakuepo.. hasa baada ya attack ya leo.
But this is really Hot Talk haichoshi kufatilia
Wapo file kwamba hata kwa party ulionekana hujifichi nyuma ya keyboards.... na tunakujua vizuri sana sio hao wanafiki wazeee.
Halafu we lara 1 yule last born wako umeshamsimamia kufanya homework?maana naona unavyojishebedua wakati mtoto wa miaka 6 anatakiwa asimamiwe homework...
Mwendawazimu mpeleke vile anavyotaka ili afurahi na nafsi yake.
uliombewa ruhusa u bibi la bibiiii ndo mana hushangai haufungwiiiiii kama ule mwingine mlioureport
Wapo file kwamba hata kwa party ulionekana hujifichi nyuma ya keyboards.... na tunakujua vizuri sana sio hao wanafiki wazeee.
Halafu we lara 1 yule last born wako umeshamsimamia kufanya homework?maana naona unavyojishebedua wakati mtoto wa miaka 6 anatakiwa asimamiwe homework...
Mwendawazimu mpeleke vile anavyotaka ili afurahi na nafsi yake.
Labda ukiwauliza wewe watakujibu...
wenzetu JF sijui wamejiunga kwa malengo yapi...
Mara party...mara najulikana...
Waulize labda leo watatujibu:llama:
Liwepo tu , chuki na unafki wa watu watatu au wawili usitunyime Uhuru humu...... Hayo mambo yapo kote kote ila kuna watu wapo tu kwenye denial period . ni kama walishawahi kuumwa na nyoka sasa wakiguswa na jani tu ishu.
Hhahaaa...Lara1 una mikwara best....kila siku ni "brigedia",sijui "jeshi la mtu mmoja",sijui "ISIS"....halafu sijakuona umeshinda hata siku moja
Hahahaaaaaaaaaaa! Mie tenaaa BIBI LA BIBI NIMFANYISHE HOME WORK NICHAMBE SAAA NGAPI VITOTO VYA 20S? Nakula na nyie sahani moja! Unaulizia last born FIRST BORN JE?
Ndo nasemaje HATA KAMA NIMEKUWA BIBI LA BIBI NABANANA NA NYIE VISICHANA ONLINE MPAKA KIELEWEKE!
Pigeni magotti mkifika umri wangu muwe na BETTER THINGS TO DO sio kuchambana na vi Angelita vya wakati huo! Mumwe hata na waume wa kuwa keep busssy, manake mie ZEE ZIMA ONLINE SIKU 2 KUCHAMBANA NA VIBINTI MCHEZO! BWAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAA! WANASTUKA WANAPIGWA SHOTI ZA UMEME WAMEFUNGASHIWA VIRAGO, BASI WAKIONA KIMADA PRESSURE INAPAND NA KUSHUKAAAA WANAKUMBUKA ROYAL MARRIAGE! Hahahaaaaa! Maisha kupokezana vijiti tu!
OLE WAKO MISS NEDDY SWALI LISIWEPO? IKIBIDI LIWE LA KWANZA KABISAAAAAA! Mambo yapo kwenye jamii na lazima yaongeleweeee!