Hahahahahahaaaa.... Namuomba Mungu aniepushie mbali( watenda dhambi pia huomba Mungu na huwasikia)
hahahaha haya usije ukazeeka ndo uanze ku act ka jlo am kidding
Qn 7. Umewahi kutoka na mume wa
mtu? Ilikuwaje? Una regret zozote?
Bado upo nae?
Umejifunza nini?
Hahaha..my dear umeongea kwa hisia kali. Such is the world. There's nothing you can do to change this. Sitaki kuwa jaji coz hata mie nina midhambi imejaa fuso lakini angie's confession do not show any kind of regretts, rather pride..! Such is life.
umenena vyema. this made me think of this qstn.
what if ulikua na mtu ukamwamini sana... but ukajagundua ana commitment na mwingine.. kimsing alikudanganya ol along... hyo dhambi ni ya nani? ! na machoz utayolia kweli yatamfata?
Actually ni kutafuta Mtu ambaye mnaendana, kila mmoja amekubaliana na mapungufu ya mwenzake na kuyakubali hakuna mkamilifu chini ya jua chamuhimu ni kuyatambua ya mwenzio na kujiuliza kama utaendana nayo.
Wise decision my friend. Na mara nyingi sisi vidume ndo waongo. Kuwaaminisha wadada kuwa tupo singo ili watupende. Baada ya hapo tunawaumiza coz tayari wanatupenda na kutuacha wanashindwa.niliachana nae... it got to a point nikaona he is falling for me nikajiweka ktk position ya mkewe I felt so bad.. had to let him go. I repented for that.
lesson.. I believe hata ning3kua nae isingenipa aman mwisho wa siku mm ndy ningekuwa loooser... na kutembea na mme wa mtu siyo ishu kwa kweli..kidin na kijamii pia.
ewaaaaaa nimependa vile unajibu maswali haya
Hahahahahaaa nimejiandaa vya kutosha.
Mwanaume mkweli muwazi, asiyenificha anayefunguka kuhusu maisha yake.
Asiwe mbana pochi hahahaaaa
swali kuntu hili namimi ngoja nilijibu looo....
Binafsi as binti napenda kujitunza tena saana tu ila hekaheka za mtaani shurti zipate watu na watu ndio sisi..... ktk jamii/ maisha yalokuzunguka unaweza kuishi utakavyo kulingana na identity ulonayo hapa haimaanishi nipitwe na vya utamu hata kama mlokole......
kujichanganya na watu ruksa sijui kama ndio kula ujana au la!
Mimi huwa sidai ndoa wala sina kimuhe muhe cha kuolewa karibuni, mahusiano yangu naenjoy sana sababu hayana deni wala expectations tunafocus kwenye kuenjoy wakati tuliopo sio possibility za huko mbele, hiyo imenifanya niwe na appreciate mambo mazuri nayotendewa badala ya kukaa na kuhesabu vitu ambavyo sijatendewa you should try it sometimes too.
Subiri nawe hot tok yako lol
Mama vipi kitu kimejibu?? Mi mwenzio nimeangukia pua
1. Sijaweka rejesita ya wanaume niliotembea nao
2. We drifted apart such is life
3. am too young
4. Kuchapiwa ni siri ya ndani