ikionekana hoteli quality mjini- YA LOWASA
Likionekana Jengo quality mjini- YA LOWASA
Ikionekana biashara ya kulipa vizuri kiulaini - YA LOWASA
Richmond Bado ya Lowasa(Wakati kuna m2 alikuja kudai pesa zake akagoma kupigwa Picha
Madaktari wakigoma - NI LOWASA
Mgogoro ndani ya CCM- NI LOWASA
Jaribuni kuwa na Utu wa huruma
Kwa hiyo kupinga MuO na CSSC ni Udini?..lakini hukubali kupinga OIC kama ni udini isipokuwa ni uzalendo sio?..
Mkuu lisemwalo lipo maadam hawakusema ni Kardinal Pengo basi haikuwepo..Jiulize kwa nini iwe Lowassa na sio Kardinal, Anna Kilango au Sheikh Ponda!..Unasema madaktari sio cheap mbona wanadai posho na kuwaacha watu wafe - kuna U cheap zaidi ya hilo..
Gazeti la Dira Ya Mtanzania linamuhusisha Mh. Edward Lowassa kuwa ndio chanzo cha mgomo wa madaktari ili kumkwamisha Rais kiutendaji kwa manufaa yake ya kuusaka urais 2015. Vilevile linazidi kuripoti kwamba, Ikulu imetayarisha mipango kabambe kukabiliana naye. Licha ya Yote, inasemekana waziri huyu mku wa zamani kutokana na ukwasi wake wa kifedha, ametayarisha mipango kabambe pamoja na kutumia uwezo wake wa kifedha kuwanunua wabunge kuhasi dhidi ya mwenyekiti wa chama ambaye ndiye Rais. Hii ina maana kwamba, Lowassa anaweza kuwa Rais kabla ya 2015
ikionekana hoteli quality mjini- YA LOWASA
Likionekana Jengo quality mjini- YA LOWASA
Ikionekana biashara ya kulipa vizuri kiulaini - YA LOWASA
Richmond Bado ya Lowasa(Wakati kuna m2 alikuja kudai pesa zake akagoma kupigwa Picha
Madaktari wakigoma - NI LOWASA
Mgogoro ndani ya CCM- NI LOWASA
Jaribuni kuwa na Utu wa huruma
Huwa unanishangaza sana na arguments zako kuhusu doctors and their just ended strike.......sometimes its intolerable not to answer you...because you are always disgracing Drs....what can i say simply.....Wewe uliacha profession yako ukakimbilia canada kubeba box.....kama we mzalendo wa kweli mbona hukubaki uipiganie na kuitetea profession yako????waache madaktari bana vipi we!!wao madaktari pamoja na mazingira na maslahi duni wamebaki TZ wakifanya kazi kwa profession zao(kutibu)leo wanadai haki zao na kutetea fani yao we yakuumia nini????we umeona kukimbia profession yako na kubeba mabox ng'ambo ndio uzalendo kwa nchi yako???what the hell are you talking bwana ah!!waache watu wenye akili zao watetee fani zao bwana,we endelea kubeba mabox na kupiga siasa za fimbo ya mbali haiui nyoka.......come back to TZ and face the reality brother ndo uweze kutukana watu na profession zao......Bro I'm sorry! dont need your respect simply because I have to aligned with doctors claim..This kind of unsuspected interstellar law doesn't work with me so take back your respect.
Mkuu, if those doctors value their service in dollars why in the hell did they signed the contact? wewe umeshaambiwa utapewa dollar 900 kwa nini umechukua kazi ile as if value of serving life..sasa mimi au Lowassa kutokuwa madaktari ndio inamwondoa ktk kuelewa matatizo ya madaktari, halafu the same doctors ask and expect the govenment to solve their problems..hao huko walikuiwa madaktari au?
Hii akili ya Kibongo kufikiria kwamba matatizo ya daktari anayajua daktari, hivyo waziri wa Afya lazima awe daktari humuoni kama ni ujinga mkubwa kuamini admin pia inahusiana na Udaktari..U may call me names lakini haiondoi ukweli kwamba wewe daktari bingwa ulienda kuomba elimu ukapewa bure kisha ukaambiwa kazi yako malipo ya mshahara wako ni huu, hali yetu ktk hospitali zetu ni hizi na unajua matatizo yote kabla hujaingiza mguu wako, ukubali na kuweka saini kukubali mashatri hayo... Umefanya kazi huoni mafao jikate!...Badala ya kupanga kwa pamoja walk out ungeweza kabisa kwenda kutafuta kazi private Hospitals au kuacha profession hiyo mbona sisi tumeacha profession zetu tunabeba mabox? ndio Ubepari huo mkuu wangu. Mbebwe kwa sababu ati mmesoma!
Kibaya zaidi hamuwezi kushinikizwa kuwaacha wagonjwa kama humanshield ili matakwa yenu yasiklilizwe hii sio Iraq wala Afghanstan. Mnaua watu makusiudi kwa sababu mnadai haki zenu wakati mahakama zipo, bunge lipo, rais yupo kwa nini msiingia Ikulu bila kualikwa.. na tumewasikia toka mwanzo mkibadilisha madai kila siku pale mnapoona mnakosea mnarekebisha kesho. Mwanzo wa madai yenu ilikuwa posho za vikao kama wabunge, tulipowasema mkabadilisha kuwa hali ya kazi.. Wewe mwajiriwa hutaki mazingira hayo acha lakini sio kumwacha mgonjwa asitibiwe. Nimefiwa na jamaa yangu kutokana na mgomo huu hivyo hata wewe hujui uchungu wa kuondokewa na jamaa yako wakati angeweza kabisa kuponeshwa ati sababu ya kudai haki yako! siwaungi mkono nyie wala hiyo serikali maana nyote mnachokitaka ni kodi ya mwananchi kuingia mifukoni mwenu.
Hii ni nooo! noo! huwezi kuyarudisha maisha yake kwa thamani yoyote ya fedha inayoipata.. Mkuu niheshimu usiniheshimu hainipunguzii kitu.
Mkuu hapa tunazungumzia tatizo la AFYA na mgomo wa madaktari. Sikuandika lolote kuhusu MuO hadi mjinga mmoja alipoandika kwamba sina lolote kumlalamikia Lowasssa isipokuwa vita yangu ni MuO. Kuna ukweli ambao nimeeleza ktk mada nyinginezo lakini wamenivuta huku ili tu waonyeshe nina chuki na Wakristu japokuwa lengo langu ni kuzungumzia Udini ulovyoshamiri Tanzania.Mkuu Huwezi Kuzungumzia UHARAMU wa MOU hala Ukaunyamazia UHAHALI wa Morogoro Muslim University (MUM) Ambayo Serikali iliwapa Waislam Pasipo hata kuingia nayo MOU yeyote. Lakini mbona sisikii Wakristo wakilalamika hilo? Mkuu Mkandara vipi Ndugu yangu?
Hii ni dunia ya Utandawazi mkuu wangu unaitafuta riziki sehemu zote inapopatikana. Elimu niliyosoma ni kunisaidia mimi kupambanua vitu na sii kutafutia ajira. Nilisoma sii kutafuta ajira, wewe ndio umesoma ili uajiriwe kutokana na zile siasa za Ujamaa na Kujitegemea. Namshukuru mungu nabeba box kazi ambayo imenifundisha mengi nje kabisa tena toka chini na kuongeza ujuzi wa kazi zaidi ya moja..Huwa unanishangaza sana na arguments zako kuhusu doctors and their just ended strike.......sometimes its intolerable not to answer you...because you are always disgracing Drs....what can i say simply.....Wewe uliacha profession yako ukakimbilia canada kubeba box.....kama we mzalendo wa kweli mbona hukubaki uipiganie na kuitetea profession yako????waache madaktari bana vipi we!!wao madaktari pamoja na mazingira na maslahi duni wamebaki TZ wakifanya kazi kwa profession zao(kutibu)leo wanadai haki zao na kutetea fani yao we yakuumia nini????we umeona kukimbia profession yako na kubeba mabox ng'ambo ndio uzalendo kwa nchi yako???what the hell are you talking bwana ah!!waache watu wenye akili zao watetee fani zao bwana,we endelea kubeba mabox na kupiga siasa za fimbo ya mbali haiui nyoka.......come back to TZ and face the reality brother ndo uweze kutukana watu na profession zao......
Tutasingizia Lowassa leo, kesho tutasema Dr Slaa, ni ukweli masilahi ya watumishi yapo chini, mimi nawapongeza madaktari wame subutu, hao waheshiwa tuwaache, karne ya leo siyo ya kupelekwa pelekwa 2015 tufanye maamuzi sahihi.
Mkuu jiulize Lowassa ni mbunge tu hana nafasi yoyote ndani ya serikali yetu, kwa nini hadi leo anakuwa na sauti kubwa na mkono kila mahala. halafu watu mnakubali kwamba Lowassa anautafuta urais kwa njia zote iweje asijihusishe na maswala mazito kama haya lakini wepesi kukubali Sitta, Membe au Dr.Slaa wanapojaribu kujipanga wao inakuwa ni makosa na utasikia muda wa propaganda za uchaguzi bado..Hivi Mhariri wa DIRA kweli amefanya udadisi wa kutosha kabla ya kuruhusu kuchapwa kwa habari hiyo? Isijekuwa ni habari imedakwa toka kwenye mitandao na Mwandishi akaichukua kichwa2 na kumpelekea Mahariri kwa mbwembwe ili ipambe na kuuza gazeti lake? Kesho tusisikie amefikishwa mbele ya Kamati ya Maadili ya MCT na kutakiwa kuomba radhi mara lukuki vinginevyo DIRA limlipe Bwana Mamvi mabilioni ya hela ya madafu.
imwan