Mmoja wa Wagombea Urais 2015 ahusishwa na Mgomo wa Madaktari?

Gazeti la Dira Ya Mtanzania linamuhusisha Mh. Edward Lowassa kuwa ndio chanzo cha mgomo wa madaktari ili kumkwamisha Rais kiutendaji kwa manufaa yake ya kuusaka urais 2015. Vilevile linazidi kuripoti kwamba, Ikulu imetayarisha mipango kabambe kukabiliana naye. Licha ya Yote, inasemekana waziri huyu mku wa zamani kutokana na ukwasi wake wa kifedha, ametayarisha mipango kabambe pamoja na kutumia uwezo wake wa kifedha kuwanunua wabunge kuhasi dhidi ya mwenyekiti wa chama ambaye ndiye Rais. Hii ina maana kwamba, Lowassa anaweza kuwa Rais kabla ya 2015
Page+1.jpg
Hivi habari hii ina ukweli? Mbona sipati picha? Rais Kikwete anamaliza muda wake wa kutawala kama Rais mwaka 2015, Lowasa, kama ni kweli inavyosemekana, wakati huo atakutana na upinzani toka kwa mtu/watu wengine kabisa, wala sio Kikwete. Sasa huu mpango unaofanywa na Lowasa wa kumharibia Kikwete kiutendaji (kama inavyodaiwa) unamasilahi ki-vipi kwa Lowasa kwa ajili ya 2015? Binafsi siamini kama hii propaganda inaukweli ndani yake. Naomba ufafanuzi.
 
Hii ni dunia ya Utandawazi mkuu wangu unaitafuta riziki sehemu zote inapopatikana. Elimu niliyosoma ni kunisaidia mimi kupambanua vitu na sii kutafutia ajira. Nilisoma sii kutafuta ajira, wewe ndio umesoma ili uajiriwe kutokana na zile siasa za Ujamaa na Kujitegemea. Namshukuru mungu nabeba box kazi ambayo imenifundisha mengi nje kabisa tena toka chini na kuongeza ujuzi wa kazi zaidi ya moja..
Mh.....wish you knew whom you are talking to......mimi nilishatoka kwenye mambo ya ajira mkuu.....mimi nina ajiri....i can employ you if you come back to TZ(i can promise).....Any way....madaktari waliogoma hawataki kuacha fani zao kwasababu za kimaslahi (kama wewe) pia hawataki kukimbilia nje ya nchi kwasababu za kimaslahi/rizki (kama wewe)kwa kuwa wanataka kuwahudumia watanzania wenzao......Funga issue ya madaktari na siasa feki za kibongo.......endelea na siasa nyingine.......
 
Hayo ya ku wish mkuu wangu yanatoka wapi? wewe uwe tajiri, waziri au nani haiihusu ktk mjadala huu maana ni wewe uliyenisema kwa nini nimekwenda Ulaya kubeba box na kuacha profession yangu. Na nimekueleza vizuri sababu zangu hayo mengine unaongeza wewe..

Mkuu wangu pengine hujanielewa vizuri, mimi sipingi madaktari kugoma isipokuwa kiwango cha mgomo wao ambao umeathiri maisha ya watu wengi sana. hata huku Majuu watu hugoma lakini sio kwa kiwango kama cha madaktari wetu na sababu za kutunga kutokana na maudhi ya huy mama katibu, na ndio maana sikubaliani nao kwa hilo tu kwa sababu zilikuwepo njia nzuri zaidi ya madai yao. Na nimeeleza wazi juu ya rafiki yangu mwanamke ambaye kafa akiwa na mimba kwa sababu presha ilipanda sana na akakosa huduma... kafa yeye na mtoto huu ni unyama mkubwa kwa madaktari kufunga huduma siku ambayo mzazi huyo kafikishwa Hospital... mengine siyaelewi kwa sababu sipo Tanzania..

Mimi siku zote natazama haki za wananchi na sintokubaliana na madai ambayo leo madaktari wanarudi kazini kwa sababu wameahidiwa wao ongezeko la posho na nyumba sijui magari (recurrent expenditures) vitu ambavyo vinamwongezea mzigo mlipa kodi halafu hakuna hata ahadi moja ya kununua vifaa ama kuboresha huduma na Hospital zenyewe, na wamerudi kazini. Sasa nambie kuna nafuu gani kwa mwananchi mlipa kodi kama sio kumwongezea mzigo kwa furaha ya madaktari..(The same thing goes to PMs)

Hawa ni madaktari waliosomeshwa bure na wananchi mnaowaadhibu leo kwa gharama zaidi ya Usdollar 120,000, wanapewa nyumba na hawalipi vitu kibao. leo kukaa Upanga tu maeneo ya Muhimbili watu wanalipa kodi Dollar 3,000 hizi hawazihesabu juu ya 1.2 millioni wanazopokea kisha juu yake bado wanazo private zahanati na phamacy kama miradi binafsi!..Halafu mwananchi mgonjwa mlipa kodi anapokuja Hospital ati anaonewa huruma na daktari anamlipia dawa hata Panadol... Hii mkuu wangu ni ujenzi wa matabaka baina ya wananchi na viongozi wao tena kwa kutegemea kodi ya huyo mwananchi unayemdharau kama hakusoma lakini ndiye analipa kodi na kakusomesha wewe bure.

Samahani sana kama nimewakwaza lakini mkuu wangu kiwango cha mgomo wenu kilikiuka Uzalendo na hakika ingekuwa enzi za Nyerere mngeshika adabu na kama mngeyafanya haya huku Ulaya (jambo ambalo haliwezekani) mngerudishwa kwenu Afrika maana hawa wazungu pamoja na ushenzi wao hawawezi kabisa kuacha huduma by 80 or 90 percent, migomo yao hushusha huduma sana sana by 30 to 40% ya huduma za kawaida.
Nilikuwepo na nikija Bongo nitakutafuta unipe ajira mkuu wangu natafuta sana ajira...
 
Madai ya madaktari chanzo chake ni Lowassa na imesikitisha sana kuona baadhi ya wanasiasa na wanaJF wakiingilia swala hili bila kulipima. Lakini pamoja na yote haya kuna ukweli mkubwa kwamba sasa hivi kuna makundi mawili tu ya kisiasa na Upinzani Tanzania. Kuna kundi la JK na kundi la Lowassa na vyama, wanasiasa, na taasisi zimejipanga ktk makundi haya mawili tu. Inasikitisha zaidi pale napotambua kwamba hata UDINI unatumika ktk kuwatenganisha JK na Lowassa kiasi kwamba leo hii waislaam wanamtetea JK kwa sababu ni Muislaam na Lowassa kwa sababu ni mkristu na mlinzi wa MuO na CSSC. Na kama tumefikia hapa basi tena nchi haitawaliki.
Ni taarifa nilizozipata toka chanzo cha kuaminika..

Madai ya udini haya mkuu Mkandara ni mazito sana,

Ukisema Lowassa ni ukristo maanayake unasema chadema na Lowassa wako upande mmoja...contradiction!!!

Ukisema Lowassa ndiye aliyesuka huu mgomo unawafanya madaktari wote mpaka bingwa kuwa ni mabogus, unawafanya watanzania walio-suport huu mgomo wote kuonekana ni sanamu za Lowassa??? it can not be!

Ebu wewe na Jasusi jaribuni kumshinda Lowasa kwa Hoja na vithibitisho...kinyume na hapo ni uzandiki na uongo mkubwa

CCM ndio mliosema CDM ni ya wakristo......Leo hii mnaona Lowassa Threat unasema Lowassa naye ni wa wakristo!!! mtu walau mwenye shule ya kiislamu lenye jina lake! wenzako waislamu wameona vyema tu watumie jina la edward lowasa kwenye islamic school...imekubalika na maisha yanaendelea

Mkandara, Lowasaa anafanya siasa ambazo huwezi, utaishi kusema ana udini, utaishia kusema anawalipa watu ...hamna facts...Leta hiyo payrolll na onyesha nani analipwa nn na kwa nini!!

Ulichoandika hapa kwa hadhi yako ya JF ni utumbo mtupu na hisia zako, acha wenye ubavu tukueleze hivyo

Wewe unalipwa na nani kwenda kinyume na Lowassa?, tangu lini na wapi unaweza kuingilia hisia za mtu na kuhukumu hizo hisia? una uwezo wa kumzuia mtu asipige kura?? hisia ina nguvu

Njia pekee ya kubadilisha hisia ni kuweka hoja na vithibitisho ambavyo mwenye hisia za mapenzi kwa Lowasa atabadilika

EL huyu semeni wee, wenye macho tuko pembeni tunaangalia.....alianza na kualikwa alikwa...Leo hii Membe na Sita wanaiga!!..juzi tulikuwa naye kwenye maulidi...!!! mdini huyu!

Kwa nature ya nchi yetu huwezi ukamtenganisha mtu na dini yake, huwezi ukazuia hisia za mtu na mtu juu ya dini ya mtu...ila Kwa Lowassa hakuna popote pale panapoonyesha kuwa ni mdini!!!! LETA HUO UTHIBITISHO...na sio kila atakaye onekana ana muunga mkono EL basi analipwa!!

This is too low and shame for you two...kuleta story haina kichwa wala miguu, akina Dr. Ulimboka wakisikia haya watakuona mavi mkuu, ukiweza futa comment zako

Ikiwa Lowassa anaweza leo hii kukuambia Mkandara mlale mkeo au la, goma au la, kula hiki au la......vaa kanzu au la...Then this is not a normal person..He deserve to be a president

YOU KNOW WHAT...LET ME TELL YOU

LOWASA HANA LOLOTE MNA MPA BICHWA NA MNAJI AIBISHA TU!!
 
Hayo ya ku wish mkuu wangu yanatoka wapi? wewe uwe tajiri, waziri au nani haiihusu ktk mjadala huu maana ni wewe uliyenisema kwa nini nimekwenda Ulaya kubeba box na kuacha profession yangu. Na nimekueleza vizuri sababu zangu hayo mengine unaongeza wewe..

Mkuu wangu pengine hujanielewa vizuri, mimi sipingi madaktari kugoma isipokuwa kiwango cha mgomo wao ambao umeathiri maisha ya watu wengi sana. hata huku Majuu watu hugoma lakini sio kwa kiwango kama cha madaktari wetu na sababu za kutunga kutokana na maudhi ya huy mama katibu, na ndio maana sikubaliani nao kwa hilo tu kwa sababu zilikuwepo njia nzuri zaidi ya madai yao. Na nimeeleza wazi juu ya rafiki yangu mwanamke ambaye kafa akiwa na mimba kwa sababu presha ilipanda sana na akakosa huduma... kafa yeye na mtoto huu ni unyama mkubwa kwa madaktari kufunga huduma siku ambayo mzazi huyo kafikishwa Hospital... mengine siyaelewi kwa sababu sipo Tanzania..

Mimi siku zote natazama haki za wananchi na sintokubaliana na madai ambayo leo madaktari wanarudi kazini kwa sababu wameahidiwa wao ongezeko la posho na nyumba sijui magari (recurrent expenditures) vitu ambavyo vinamwongezea mzigo mlipa kodi halafu hakuna hata ahadi moja ya kununua vifaa ama kuboresha huduma na Hospital zenyewe, na wamerudi kazini. Sasa nambie kuna nafuu gani kwa mwananchi mlipa kodi kama sio kumwongezea mzigo kwa furaha ya madaktari..(The same thing goes to PMs)

Hawa ni madaktari waliosomeshwa bure na wananchi mnaowaadhibu leo kwa gharama zaidi ya Usdollar 120,000, wanapewa nyumba na hawalipi vitu kibao. leo kukaa Upanga tu maeneo ya Muhimbili watu wanalipa kodi Dollar 3,000 hizi hawazihesabu juu ya 1.2 millioni wanazopokea kisha juu yake bado wanazo private zahanati na phamacy kama miradi binafsi!..Halafu mwananchi mgonjwa mlipa kodi anapokuja Hospital ati anaonewa huruma na daktari anamlipia dawa hata Panadol... Hii mkuu wangu ni ujenzi wa matabaka baina ya wananchi na viongozi wao tena kwa kutegemea kodi ya huyo mwananchi unayemdharau kama hakusoma lakini ndiye analipa kodi na kakusomesha wewe bure.

Samahani sana kama nimewakwaza lakini mkuu wangu kiwango cha mgomo wenu kilikiuka Uzalendo na hakika ingekuwa enzi za Nyerere mngeshika adabu na kama mngeyafanya haya huku Ulaya (jambo ambalo haliwezekani) mngerudishwa kwenu Afrika maana hawa wazungu pamoja na ushenzi wao hawawezi kabisa kuacha huduma by 80 or 90 percent, migomo yao hushusha huduma sana sana by 30 to 40% ya huduma za kawaida.
Nilikuwepo na nikija Bongo nitakutafuta unipe ajira mkuu wangu natafuta sana ajira...

Ona hapa unavyoweweseka...nani sasa wa kulaumiwa, wamekuwa madaktari na si Lowassa

You guys, show your stand, believe what you write , think and speak.....huu unafiki situkalia kimya!
 
For some reasons niko na wewe as much as i hate Lowassa. Dude understands our society, the nature and basis of our political life, ufisadi (in the current form and playing his cards rights in the system to make himself above many), jamaa sio mtu mzuri lakini hawamuwezi wanaojaribu kumzima. Hizi zote ni sababu kwa viongozi wengi wamefika walipo bila ya merit.

Labda kwa sababu wengi wanaotuongoza leo wamepitia usalama wa taifa (****** wa nyerere, maana wengi wanajuanianiana hapo), wasichoelewa mwenzao anajua kujinadi (Lowassa anaweza kuwa mkristo mzuri, lakini si mdini) jamaa hana hisia (ni mkweli kutokana na jamii anayo iwania kuiongoza) kwa maana hiyo anaelewa TZ inawatu gani. Kumuita mdini ni si sawa, yeye anachojali ni public opinion of him (ktk jamii anayoilewa).

Sasa wana JF watavyomuona na uncle wangu wa nyabula atavyomuona trust me ni very different views (watanzania in general si wadini) hila mnaomchukia Lowassa lazima mjifunze kama mnataka kupambana nae you have to think the way he thinks.

Huyu jamaa ni smart its only ni mwizi wa kutupwa according to JF (Pengine labda anatumia loopholes za sheria zilizo ovyo za kununua shares, still si mzalendo). Hila itakuwa ngumu sana kumtemea mate kutokana na uozo uliopo serikalini na wezi wengi wa wazi wazi (so why him), its only fair if we think he is smart kutokana na uozo uliopo lakini, he is not that smart (matter of fact he is stupid kama wengine, isipokuwa tumejaza wapuuzi wengi sana serikalini, na sasa tunachagua wabaya tunaowataka tu, kati ya wengi waliokuwepo) .
 
Hapana kuhusu wabunge wa CCM Zanzibar na bara wote wanajua kuwa yeye ndiye kawaweka madarakani (siasa za mtukula). Hivyo nidhamu inatokana na nguvu alokuwa nayo Lowassa kama unakumbuka hata Salva alimwandikia yeye barua kuomba ajira Ikulu. Pengine pia EL anakubalika Zanzibar kwa sababu zinaohusiana na Muungano maana tunaujua msimamo wa Sitta. Huyu mtu ni mbaya sana kupita maelezo kwa sababu Udini hatuuomba sisi wananchi bali yeye mwenyewe ndiye anautumia sana na JK pia wamekuwa wakicheza pande zote mbili danadana matokeo yake ndio udini uliopo leo.

JK hawasaidi lolote Waislaam sawa na Lowassa na wakristu isipokuwa wanachokifanya ni kutuvuruga, kutugawa ili tupate kutawalika kirahisi. Hivi kweli ktk akili yako unafikiri Lowassa anazo sifa za kuwa rais..Anapendwa kwa sifa zipi kama sio nguvu ya fedha na kutumia zaidi makanisa kujisafisha.. Huyu huyu mwaka juzi tu tulikuwa tukimchukia wote leo kawa malaika ghafla! huoni kama tunachezewa akili hapa.. Huyu mtu alitakiwa kuwa jela kifungo cha maisha na pengine hata JK kutopita urais mwaka 2010.. lakini imeshindikana kutokana na mchezo mchafu wanaoufanya watu hawa.

Mkandara,

Spot on.Mkuu nimmewauliza sana wapiga kampeni wa EL humu jukwaani kwamba "what is so special with your EL?" Kitu gani amefanya kwa miaka yote amekuwa serikalini cha kumtofautisha na wengine.Ukweli hakuna jambo zuri ambalo ni la tofauti sana (exceptional) kama wanavyomfanya malaika,mtakatifu n.k.

Wamempa sifa ya uchapakazi ,sifa ambayo ukiwaambia walete uthibitisho,hakuna.

Kwangu mimi naona bora watanzania wafanye "overhaul" of the whole system,waitoe CCM tuweke wengine,walau tunaweza tukawa na namna mpya ya kufanya mambo.
 
I hate kuona watu mkimpandisha chati Lowasa kwa vitu asivyo na uwezo nao. Mtu yeyote ambaye si daktari anayeweza ku-mobilize madaktari kwa kiwango cha mgomo wa juzi anastahili kuwa rais wa nchi hii, na mtu huyo si Lowasa na wala hawezi kuwa Lowasa.
Mimi ni mkiristo na namchukia Lowasa si kwa sababu ya dini yake bali kwa sababu ya matendo yake.
 
Waberoya,
Mkuu sikutegemea hata wewe unaweza kubebwa ktk zigo hili hata bila kusoma yaliyotangulia. Mimi hapa najibu hoja za watu wanakozipeleka wao wenyewe. Kuna wanaotaka kujua kuhusu Lowassa nimejieleza na waliotaka kujua kuhusu madaktari nimejieleza na waliotaka kuelewa kuhusu Muafaka wa Mou nimejieleza maana yotye haya yamechukuliwa kwa pamoja kunikashifu mimi na sio kutazama hoja nzima. Why is it all about me! mbona mnashindwa kujieleza upande wenu isipokuwa kutafuta maneno ya Mkandara na kuya crush pasipo kuja na ukweli wenu..

Hata hivyo waliogoma ni madaktari nimeeleza kutoridhika na mapana ya hatua waliyochukua.Hakugoma Lowassa ila nakubali kuna mkono wa Lowassa na sii ktk hili tu bali hata uchaguzi wa mawaziri, manaibu, wagombea wabunge na kadhalika..Wapo wanaharakati kibao ktk payroll yake na hata hapa JF wamo watu wanaochangia makusudi kumpamba na kujibu hoja zinazomhusu Lowassa (sijui kama wewe mmoja wao).

Mkuu wangu unachoona wewe kizuri ni kwa macho yako na hao waislaam wanaopokea misaada ya Lowassa ambaye mbele za watu wanamkashifu kama Fisadi. Wamepokea kina Mrema toka kwa Jitu Patel itakuwa hawa waislaam wenye njaa ambao akili zao zimejengeka ktk kufikiria kujitenga na Wakristu. Nachokipinga mimi ni mfumo wa kuwagawanya Waislaam na Wakristu kwa kutumia kuhodhi Elimu na Afya vitu ambavyo naviona ni muhimu sana kwa taifa hili. Wewe huwezi kuelewa kwa sababu unayatazama yote haya ukiwa ndani ya kabati la Ukristu, hivyo waislaam wakipewa kamsaada na Lowassa unaona sawa tu hali chuki yao ndio inazidi zaidi dhidi ya wakristu na kwa viongozi kiasi kwamba inawabidi wafanye zaidi kutafuta sifa hali haikutakiwa kuwa hivyo.

Haya uloandika ndio ya kina Barricks, wamekuja nchini wanachukua dhahabu yetu kwa kutujengea shule na zahanati halafu tunasema bora wao wanatuachia shule..Mimi sitazami vitu hivyo mkuu wangu hata kama shule iandikwe Sinclair au Bush haibadilishi ukweli kwamba huyo mtu ni fisadi au mwizi wa rasilimali zetu.

Na ushahidi upi unaotaka wa Lowassa zaidi ya yeye mwenyewe kujiuzulu? Wamejiuzulu kina Karamagi mbona husemi hata yeye walimeonea wakati Richmond ilikuwepo kabla hajawa waziri na kama utasema Buswagi mbona mkataba umeendelea na sasa hivi watu wanvuna dhahabu tu kama kawa!.. Makosa ya Karamagi ni yapi?.. Lakini haiondoi kwetu wananchi kujua uchafu wa Karamagi na viongozi wengine waliopo ktk uchafu na tunayajua mengi zaidi ya hayo. Mbona Dr.Slaa alipotoa list of shame, jina la Lowassa lilikuwepo na hamkusema ni uongo au kumuuliza maswali haya au kwa sababu jina la JK pia lilikuwepo? Kama unataka ushahidi mfuate Dr. Slaa aliyejipatia sifa kubwa kwa kutaja list of shame - mimi nimeamini kama watanzania wengi walivyoamini..

Mkuu wangu tuzungumzie hoja zilizopo, haya maswala ya mimi kulipwa hayahusu. Kuna ukweli ktk maneno yangu ndilo la kujadili maana umeona kina Faizafox wakimtetea JK na wewe ukimtetea Lowassa na tofauti zenu ni dini unataka ushahidi gani zaidi?..Kwa nini unamtetea Lowassa ikiwa hata wewe hujui makosa yake wala ubora wake.. what has he done good for the country hata umtetee..

Mkuu wangu hizi habari za EL kuhusika zilisambaa hata kabla..kuna watu wanaujua kiundani na ndio wao wanaosema mimi nayaona matokeo tu. Ikitokea tsunami kesho wakati nimeshaambiwa sababu ni tetemeko la ardhi bahari ya Hindi.. nitasubiri kutokea kwa Tsunami na ikitokea nitajua sababu ni tetemeko la ardhi baharini sasa unaponambia nitoe ushahidi unakuwa kama mtu asiyekwenda shule vile. labda nikwambie tu ya kwamba hata ile hotuba ya Lowassa NEC kuna watu walijua atakayoyasema kabla hata ya mkusanyiko huo na mimi nilipinga kwamba hawezi kupona safari hii lakini ilikuwa kama nilivyohadithiwa utafikiri sinema.

Sasa kama sio wadini kwa nini wanang'ang'ania muafaka wa MoU, mfumo ambao unatumika Ulaya kwenye nchi zilizopata uhuru wao kwa kupitia Ukristu?. Yawezekana walioutunga walifikiria maadam mfumo huu unafanya kazi Ulaya basi hata Tz unafaa wakati nchi yetu haikupata uhuru wake kupitia Ukristu. Ni sawa na JK alete mfumo wa Saudia na kuwakabisha Bakwata jukumu la elimu na Afya nchini ati kwa sababu tu inafanya kazi Arabuni - nitaendelea kupinga kwa sababu naelewa WATU na MAZINGIRA yetu ni tofauti kabisa na Saudia au Ulaya..Na nitampongeza sana Mwalimu Nyerere kwa kazi aloifanya ktk kuvunja Ukabila na Udini ambao leo hii unajitokeza lakini watu mnafumba macho yenu kwa sababu tu mnafikiri mnafaidika.
 
For some reasons niko na wewe as much as i hate Lowassa. Dude understands our society, the nature and basis of our political life, ufisadi (in the current form and playing his cards rights in the system to make himself above many), jamaa sio mtu mzuri lakini hawamuwezi wanaojaribu kumzima. Hizi zote ni sababu kwa viongozi wengi wamefika walipo bila ya merit.

Labda kwa sababu wengi wanaotuongoza leo wamepitia usalama wa taifa (****** wa nyerere, maana wengi wanajuanianiana hapo), wasichoelewa mwenzao anajua kujinadi (Lowassa anaweza kuwa mkristo mzuri, lakini si mdini) jamaa hana hisia (ni mkweli kutokana na jamii anayo iwania kuiongoza) kwa maana hiyo anaelewa TZ inawatu gani. Kumuita mdini ni si sawa, yeye anachojali ni public opinion of him (ktk jamii anayoilewa).

Sasa wana JF watavyomuona na uncle wangu wa nyabula atavyomuona trust me ni very different views (watanzania in general si wadini) hila mnaomchukia Lowassa lazima mjifunze kama mnataka kupambana nae you have to think the way he thinks.

Huyu jamaa ni smart its only ni mwizi wa kutupwa according to JF (Pengine labda anatumia loopholes za sheria zilizo ovyo za kununua shares, still si mzalendo). Hila itakuwa ngumu sana kumtemea mate kutokana na uozo uliopo serikalini na wezi wengi wa wazi wazi (so why him), its only fair if we think he is smart kutokana na uozo uliopo lakini, he is not that smart (matter of fact he is stupid kama wengine, isipokuwa tumejaza wapuuzi wengi sana serikalini, na sasa tunachagua wabaya tunaowataka tu, kati ya wengi waliokuwepo) .
Mkuu wangu nani kasema Lowassa mdini?.... mbona kuna watu wanasema kwamba JK ni mdini? ni kwa Udini upi? Halafu ukitaka kuona udini wetu, waulize waislaam kuhusu JK kama ni mdini watakataa ila wewe ndio mdini.. na waulize wakristu kuhusu Lowassa nao watakataa vile vile.. Sasa mkweli ni yupi kama sio sisi wenyewe tunaojishuku ndio WADINI...?..nachofanya mimi ni kueleza elements za Udini nchini hivyo naonekana mdini kwa sababu tu wananyooshea vidole wale wanasababisha udini huu. Sii Lowassa wala JK wana akili au smart bali sisi wananchi wenyewe ndio wajinga kama tunavyodanganywa na IMF au WB.. they are not that smart ila sisi ndio wajinga kutokana na umaskini wetu wa hali na mali.

Nachosema mimi mfumo wetu unatugawa kwa dini zetu na haufai na mojawapo ni mfumo mzima wa AFYA na ELIMU nchini huu utatugawa vibaya sana kama hatutaangalia. Ni muhimu utazamwe upya na kuweka mfumo ambao unalingana na WATU na MAZINGIRA yetu. Weka shule za serikali (for all) fully funded na serikali, 2. weka shule za Private (for all) ambazo hazipewi fedha mwenye uwezo akasome huko na 3. Shule za seminary ambazo waumini wa dini wataenda kusoma elimu dunia na elimu ya dini. Hizi zitakuwa funded (subsidized) kwa mtoto anayekwenda kusoma shule hiyo na sio kukabidhi chombo kimoja cha dini moja..Serikali itakusanya kodi kutoka kwa wazazi wao kuwasomesha watoto hawa ktk shule hizi, hivyo fungu linatoka mfukoni mwa mzazi na sio ku hand over 90 mil kwa taasisi iliyoundwa kutokana na imani ya dini. Hivyo sio tu napinga bali nimetoa hata jinsi ya kuziendesha wizara hizi kuondoa kero za udini nchini.
 
Mkuu EL anatumia kila njia ikiwemo UDINI ili afikie lengo lake, sasa hivi anataka kuwaonyesha watu kwamba mambo yafuatayo

a. Yeye amewajibika ili kumuokoa JK -Uwongo amejifukuzisha kwa kiburi, aibu na ujinga (pupa) hana leadership skill angeweza ku dissolve issue nzima na mwakyembe akawa huru lakini ni KUbwa jinga tu huyu..

b. Anawashika wala wenye maradhi ya UDINI kwamba anaonewa kwasababu JK ni mdini; na amewapata wengi sana Tanzania; makanisani wachumia tumbo wanapokea mshiko na hii strategic imeanza kufanya kazi kwa kasi ya ajabu

c. Kwamba yeye alikuwa mchapakazi kupita mtu yeyote akiwemo JK, Pinda et al. anajaribu kila awezekalo kutifua smooth running of the goverment, hapa anatumia strategic za udini na pesa (kushawishi wanasiasa); kwenye hili hata Chadema, CCM na NCCR ana mawakala wa kutosha...utashtuka sana nikikwambia Mbowe na Mnyika na Zitto wapo ndani ya mfuko; slaa ana maradhi ya udini yeye hata asipopewa ana chuki zake angefurahi serikali inge-fail

lakini hafiki mbali atakufa kwa pressure trust me..
Hii hata mimi nilidokezwa mahali.Dr Slaa inabidi awe makini sana! Kuna vitu vya ajabu vinaendelea ktk siasa za Tanzania.
 
Kwa hiyo kupinga MuO na CSSC ni Udini?..lakini hukubali kupinga OIC kama ni udini isipokuwa ni uzalendo sio?..
My brother! Unaelekea wapi? Nini kimekuingia tena? This is very cheap kwa level zako hapa JF!!
 
achana nae huyo.... hajui kuwa matatizo yalianzia wakati yule mama anatangaza kazi bila kufuata taratibu, majibu ya dharau, kuhamisha watu wakiwa darasani na barua za vitisho, na kila walipokua reminded ndio kama alizidisha, kuna wakati alifikia kutoa kashfa, na akaanza kuburuza kila mtu

she went on, huku mponda akimegewa vibahasha na kukaa - kwenye hadi admin, promotion, placement, kila sehemu kavuruga, she wasnt patient, karibia kila program pale aliichokonoa bila kuangalia long term effects

walichakachua bajeti ya wizara, vibaya sana tu... sikika tried to do something lakini wakazimwa pia

and sadly, when it came to simple madai, tena haki yao, akavuka mpaka

we are losing doctors and other health care professionals because of less than 10 people who frustrate the system to be comfortabel etc.

hayo ya MOU sitaki kuingia kwani ni thread nyingine, lakini tukumbuke kwamba 40% ya health services ziko kwa FBO na kwangu mimi ile MOU ni tool nzuri sana ya government control to churches facilities kwasababu they can send their staffs (watu wao) huko kufanya kila kitu, ni health facilities zinazofuata government system, hivi nani kwenye private sector anafuata government system ya health care delivery???

If you look at it in a business perspective, ile ni service agreement, and the government is not paying service charges, it is paying its own overheads in maintaining is service level agreement with the vendor...

its all build around objectives za waliotutawala mwanzo... mmoja alikuja kuchukua, mmoja akajua akichukua bila kuweka huduma haitakua nzuri.... MYOPIC MINDS WILL NEVER REALIZE
Very smart explanation! Kudos MTM!
 
Mkuu mimi ningekuomba ubadili heading yako badala ya mgombea urais iwe muwania urais, kwani mpaka sasa hakuna mtu yeyote ambaye tayari ameshateuliwa na tume kuwa mgombea urais.
 
Kwanza kabisa anza kwa tindikalim kwa Kubenea nani anahisiwa? Njoo kwa kutishia watu maisha na tetesi za kuwatumia Alsaabab na wahusika kuripoti Polisi mhisiwa nani? Haya kumbuka unga wa bungeni ni kundi gani linahisiwa? kulishwa watu sumu na walewale walioripoti kutishiwa maisha nani mhisiwa? Nani anahasira kutoswa kuhusu Richmond? Nani anatafuta Urais kwa namna yoyote hata ikibidi kuwaua wapinzani wake wote? Wanaokataa wakatae tu lakini haiwezekani kila kitu kihusishwe na wewe na mara zote iwe uongo, na msubiri tu kwani karibuni tu Mungu atafanya mambo yake kwani hata mchawi hufanya vitu vyake kisisiri ila siku moja ataumbuka atakapokamatwa akiwa uchi. Mtu huyu ni tishio kwa serikali yetu na nchi yetu, ni vema kila mwenye nia njema amfahamu na atathibitiwe kwa namna yoyote ile, na tayari wengine tunafunga tukiomba kwa mungu atauepushe na muuaji huyu eti anaye tabiri Urais na manabii feki tena wa Naigeria wanaongoza kwa utapeli wa kiroho.
 
Ameonewa sana!!!,amedhalilishwa sana!!!!.Hivi hakuna lingine lenye manufaa kwa taifa zaidi ya EL?!!!!!!!!!!!!!!
Nadhani inatosha.Si vyema kumuandama mtu asiye na hatia.Najua tatizo ni 2015.Kama kweli anafaa,nature will take its course.Kama EL hafai no way he can get there.Nakumbuka msemo mmoja mzuri tu 'when pouring water into the glass,you dont worry about the level'
The next president can be any eligible Tanzanian(of course at least 40yrs),EL included,as the laws of the country allows himto vie for any position.Me,you and others we can do the same.
 
Hayo ya ku wish mkuu wangu yanatoka wapi? wewe uwe tajiri, waziri au nani haiihusu ktk mjadala huu maana ni wewe uliyenisema kwa nini nimekwenda Ulaya kubeba box na kuacha profession yangu. Na nimekueleza vizuri sababu zangu hayo mengine unaongeza wewe..

Mkuu wangu pengine hujanielewa vizuri, mimi sipingi madaktari kugoma isipokuwa kiwango cha mgomo wao ambao umeathiri maisha ya watu wengi sana. hata huku Majuu watu hugoma lakini sio kwa kiwango kama cha madaktari wetu na sababu za kutunga kutokana na maudhi ya huy mama katibu, na ndio maana sikubaliani nao kwa hilo tu kwa sababu zilikuwepo njia nzuri zaidi ya madai yao. Na nimeeleza wazi juu ya rafiki yangu mwanamke ambaye kafa akiwa na mimba kwa sababu presha ilipanda sana na akakosa huduma... kafa yeye na mtoto huu ni unyama mkubwa kwa madaktari kufunga huduma siku ambayo mzazi huyo kafikishwa Hospital... mengine siyaelewi kwa sababu sipo Tanzania..

Mimi siku zote natazama haki za wananchi na sintokubaliana na madai ambayo leo madaktari wanarudi kazini kwa sababu wameahidiwa wao ongezeko la posho na nyumba sijui magari (recurrent expenditures) vitu ambavyo vinamwongezea mzigo mlipa kodi halafu hakuna hata ahadi moja ya kununua vifaa ama kuboresha huduma na Hospital zenyewe, na wamerudi kazini. Sasa nambie kuna nafuu gani kwa mwananchi mlipa kodi kama sio kumwongezea mzigo kwa furaha ya madaktari..(The same thing goes to PMs)

Hawa ni madaktari waliosomeshwa bure na wananchi mnaowaadhibu leo kwa gharama zaidi ya Usdollar 120,000, wanapewa nyumba na hawalipi vitu kibao. leo kukaa Upanga tu maeneo ya Muhimbili watu wanalipa kodi Dollar 3,000 hizi hawazihesabu juu ya 1.2 millioni wanazopokea kisha juu yake bado wanazo private zahanati na phamacy kama miradi binafsi!..Halafu mwananchi mgonjwa mlipa kodi anapokuja Hospital ati anaonewa huruma na daktari anamlipia dawa hata Panadol... Hii mkuu wangu ni ujenzi wa matabaka baina ya wananchi na viongozi wao tena kwa kutegemea kodi ya huyo mwananchi unayemdharau kama hakusoma lakini ndiye analipa kodi na kakusomesha wewe bure.

Samahani sana kama nimewakwaza lakini mkuu wangu kiwango cha mgomo wenu kilikiuka Uzalendo na hakika ingekuwa enzi za Nyerere mngeshika adabu na kama mngeyafanya haya huku Ulaya (jambo ambalo haliwezekani) mngerudishwa kwenu Afrika maana hawa wazungu pamoja na ushenzi wao hawawezi kabisa kuacha huduma by 80 or 90 percent, migomo yao hushusha huduma sana sana by 30 to 40% ya huduma za kawaida.
Nilikuwepo na nikija Bongo nitakutafuta unipe ajira mkuu wangu natafuta sana ajira...

WeWE UMEONA KTK CONTEXT YA HUKO KWENU UGHAIBUNI NDIO MAANA ARGUMENTS ZAKO NYINGI CAN NOT BE CONTEXTUALIZED IN TANZANIA PERSPECTIVE we KOMAA NA UBEBAJI MABOX HUKO ILA KARIBU TANZANIA KAMA UNATAKA KU MAKE CHANGES KWENYE NCHI YAKO WATU HUFA KWA KUKOSEKANA KIFAA CHA ELFU MBILI NJOO MKUBWA SIWEZI KUKUELEZA CHOCHOTE NAJUA HUTAELEWA KWA MTAZAMO UNAOUNESHA
 
Back
Top Bottom