Mkuu hatuna sababu ya kubishana maana nilichoandika ni kwamba JK hawasaidii waislaam. Kuhusu Lowassa pamoja na kwamba ndiye muasisi wa mpango mzima wa elimu na Afya nchini hawasaidii pia wakristu maana umeona matokeo ya mgomo watu wanashabikia bila kujua athari zake...Hata huo muafaka watu wanaushangilia pia bila kujua madhara yake ndio maana maradhi yamezidi nchini na wanafunzi wanazidi kushindwa mitihani kwa asilimia kubwa kupita wakati wowote...JK hajawasaidia waislam wala hatuhitaji msaada mkuu tunataka hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...(please get your facts)
EL amewasaidia sana wakristo maana yeye ndio aliyeandaa MoU (richmond no.1) ya makanisa na serikali kafanya tricks kama za Richmond safari hii ikamuondoa kwa aibu kubwa shenzzzzzzzzzi
Mkuu hatuna sababu ya kubishana maana nilichoandika ni kwamba JK hawasaidii waislaam. Kuhusu Lowassa pamoja na kwamba ndiye muasisi wa mpango mzima wa elimu na Afya nchini hawasaidii pia wakristu maana umeona matokeo ya mgomo watu wanashabikia bila kujua athari zake...Hata huo muafaka watu wanaushangilia pia bila kujua madhara yake ndio maana maradhi yamezidi nchini na wanafunzi wanazidi kushindwa mitihani kwa asilimia kubwa kupita wakati wowote...
Sasa tukiendeleza siasa hizi za Udini kiasi kwamba unambie Mkandara inakubidi uchague upande, mkuu wangu nitawaacha mlipo maana najua nachagua upande wa JK au Lowassa ambao wote ni bogus..Hivi umesahau kwamba Lowassa alishiriki sana kuiangusa CUF bara na walipohakikisha imekufa bara wakaingia kwa Chadema nako wameisha hakikisha Chadema haiwezi kupata kura za waislaam hivyo kazi yao ya kuwamaliza upinzani imekwisha, sasa wanarudi ktk vita yao wenyewe ndani kutafuta mritihi wa JK pengine hata kumwondoa kabla ya wakati wake. wana Chadema wanisome vizuri kabisa kwamba itakuwa kazi kubwa sana kupata kura za waislaam na hakuna sababu zaidi ya Udini uliopo na CCM wamehakikisha dhana hiyo imeshika makali yake. Waislaam wengi wahataki hata kusikia jina la Chadema kama ilivyokuwa CUF mwaka 2005.
Nakubaliana na watu wengi kwamba JK hafai kabisa, hakuna kitu kina run smooth bali ni ufisadi mtupu kwa kwenda mbele. Alishindwa vipi kutosaini muswada kwa hofu ya wanaCCM lakini ameweza kutosaidi posho za kukaa....si anawaogopa CCM mbona kaacha hilo! Hata hivyo fikra za kumwondoa JK na kumweka Lowassa kama mrithi? dah hapo tena nawaachia na siasa zenu, na bahati mbaya zimejijenga ktk msingi wa udini ila nitaendelea kulaani vitendo hivi toka pande zote mbili.
Nimechukua muda mrefu sana kuamini siasa za Udini kutumika na nadhani ulinambia sii mara moja wala mara mbili lakini sikuamini. Maadam sasa hivi ninazo taarifa za ndani zaidi kuhusu watu wengine wanaolamba miguu ya hawa watu ili mambo yao yafanikiwe ndipo niliposhika tama na kubakia mtupu.. Kuhusu Mbowe, Zitto na Mnyika kusema kweli sina taarifa hizo lakini najua hata wao wanaangaliwa kwa ukaribu zaidi na siasa za CCM wamesimama upande gani..
Mkuu lisemwalo lipo maadam hawakusema ni Kardinal Pengo basi haikuwepo..Jiulize kwa nini iwe Lowassa na sio Kardinal, Anna Kilango au Sheikh Ponda!..Unasema madaktari sio cheap mbona wanadai posho na kuwaacha watu wafe - kuna U cheap zaidi ya hilo..Kuna siku tutaambiwa kuwa aliyeleta mgomo ni cardinali Pengo
I use to respect you a lot but now I am worriedMkuu lisemwalo lipo maadam hawakusema ni Kardinal Pengo basi haikuwepo..Jiulize kwa nini iwe Lowassa na sio Kardinal, Anna Kilango au Sheikh Ponda!..Unasema madaktari sio cheap mbona wanadai posho na kuwaacha watu wafe - kuna U cheap zaidi ya hilo..
Bro I'm sorry! dont need your respect simply because I have to aligned with doctors claim..This kind of unsuspected interstellar law doesn't work with me so take back your respect.I use to respect you a lot but now I am worried
If you are good reader or follower, the cause of all this dharau, intimidation, and silly pride... By the government. And take note that they were not looking for posho but rights
would U wake three in the morning being paid nine hundred dollars a month (gross) and run twenty kilometers to save a drunkard or anyone for seven dollars a night? And when you ask unaambiwa ni with?
My bro, you don't know shit about ADHA of being a doctor in bongo, and you better be quiet sometimes coz you are one of those similar to the former French queen
Some leave the country and thinks its ok, but other remained and claimed their stake....
Take this note, if they were cheap, Chadema offer was more handsome, and just for your information.... Lowasa is not a doctors darling since long
And the drivers for change this time were not old people... It was the the new blood we never used to care in the field
Take that and you may shove it up your anything
Kwa hiyo kupinga MuO na CSSC ni Udini?..lakini hukubali kupinga OIC kama ni udini isipokuwa ni uzalendo sio?..Halafu unakuja na hoja eti jukwaa la siasa halina mvuto siku hizi,limejaa udini,wakati mwenyewe ndiye unaongoza kwa posts za udini
Kwa hiyo kupinga MuO na CSSC ni Udini?..lakini hukubali kupinga OIC kama ni udini isipokuwa ni uzalendo sio?..
Bro I'm sorry! dont need your respect simply because I have to aligned with doctors claim..This kind of unsuspected interstellar law doesn't work with me so take back your respect.
Mkuu, if those doctors value their service in dollars why in the hell did they signed the contact? wewe umeshaambiwa utapewa dollar 900 kwa nini umechukua kazi ile as if value of serving life..sasa mimi au Lowassa kutokuwa madaktari ndio inamwondoa ktk kuelewa matatizo ya madaktari, halafu the same doctors ask and expect the govenment to solve their problems..hao huko walikuiwa madaktari au?
Hii akili ya Kibongo kufikiria kwamba matatizo ya daktari anayajua daktari, hivyo waziri wa Afya lazima awe daktari humuoni kama ni ujinga mkubwa kuamini admin pia inahusiana na Udaktari..U may call me names lakini haiondoi ukweli kwamba wewe daktari bingwa ulienda kuomba elimu ukapewa bure kisha ukaambiwa kazi yako malipo ya mshahara wako ni huu, hali yetu ktk hospitali zetu ni hizi na unajua matatizo yote kabla hujaingiza mguu wako, ukubali na kuweka saini kukubali mashatri hayo... Umefanya kazi huoni mafao jikate!...Badala ya kupanga kwa pamoja walk out ungeweza kabisa kwenda kutafuta kazi private Hospitals au kuacha profession hiyo mbona sisi tumeacha profession zetu tunabeba mabox? ndio Ubepari huo mkuu wangu. Mbebwe kwa sababu ati mmesoma!
Kibaya zaidi hamuwezi kushinikizwa kuwaacha wagonjwa kama humanshield ili matakwa yenu yasiklilizwe hii sio Iraq wala Afghanstan. Mnaua watu makusiudi kwa sababu mnadai haki zenu wakati mahakama zipo, bunge lipo, rais yupo kwa nini msiingia Ikulu bila kualikwa.. na tumewasikia toka mwanzo mkibadilisha madai kila siku pale mnapoona mnakosea mnarekebisha kesho. Mwanzo wa madai yenu ilikuwa posho za vikao kama wabunge, tulipowasema mkabadilisha kuwa hali ya kazi.. Wewe mwajiriwa hutaki mazingira hayo acha lakini sio kumwacha mgonjwa asitibiwe. Nimefiwa na jamaa yangu kutokana na mgomo huu hivyo hata wewe hujui uchungu wa kuondokewa na jamaa yako wakati angeweza kabisa kuponeshwa ati sababu ya kudai haki yako! siwaungi mkono nyie wala hiyo serikali maana nyote mnachokitaka ni kodi ya mwananchi kuingia mifukoni mwenu.
Hii ni nooo! noo! huwezi kuyarudisha maisha yake kwa thamani yoyote ya fedha inayoipata.. Mkuu niheshimu usiniheshimu hainipunguzii kitu.
achana nae huyo.... hajui kuwa matatizo yalianzia wakati yule mama anatangaza kazi bila kufuata taratibu, majibu ya dharau, kuhamisha watu wakiwa darasani na barua za vitisho, na kila walipokua reminded ndio kama alizidisha, kuna wakati alifikia kutoa kashfa, na akaanza kuburuza kila mtuOIC iko wapi kwenye hii thread?Ianzishie thread yake basi kama vipi.Jadili issues kwa facts mkuu acha hisia.Embu ona unavyomshambulia Lowasa,eti chanzo cha mgomo wa madaktari,kweli?facts ziko wapi?MTM kakufafanulia vizuri kuhusu chanzo cha mgomo mpaka ukafikia ulipofikia na huitaji kuwa na udokta kama wa Bilal kukubaliana na ukweli huo
Joka la Mndimu hilo na kutapatapa.
Hata kama ana nguvu gani huyo Lowassa, siye aliyepanga mshahara wa madaktari uwe kiduchu, posho za dharura ziwe kiduchu, madaktari kukosa nyumba, Blandina Nyoni na Haji Mponda kuwajibu hovyo, Kikwete na Pinda kuwakwepa kwa wiki tatu.......yote hayo ili tu wapate nafasi ya kugoma kumfurahisha Lowassa na Rostam.
Za kuambiwa changanya na za kwako.
Ondoeni upuuzi wenu nyie, msiwafanye madaktari hawawezi kupanga na kuamua mambo yao mpaka washawishiwe na hao mafisadi wenu!Siyo gazeti la udaku, hli ni gazeti kama mengine. Hizi taarifa ni za kweli kwa maana kuna watu wake wa karibu pia wanayasema haya haya. Lowasa na rostam wanamtingisha Kikwete sasa hivi. Wanalipiza kisasi Kikwee kuwaponza
jamani! Jamani! Jamani! Kwanini tusiangalie mada? Kwani madai ya hao madakitari si sahihi/kweli? au mnataka kutuambia madaktari wetu hawajui haki zao mpaka huyo lowasa awapiganie? Mimi sijui bana, wasihusishe mgomo huu na mamabo ya kisiasa?