Mmmmmhhhhh!!!!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Sina la kuongezea hapa....

d2e0c8d669b4f01e4fc6134499dde363-getty-fbl-wc2010-match50-usa-gha.jpg
 
ahhhhhh jamani waacheni washangirie kwa raha na kwa nafasi ..............hamuoni jambo na nyie! lol
 
Hii niliiona kwenye TV nikajisemea mwenyewe 'dayuuuuum that's kinda ghey...or maybe it's the Ghanaian way'
 
ukiwa na homophobia
utajikuta hata mtu akikugusa hivi labda
kwenye daladala au foleni ya luku hivi
au kwenye kikapu unataka kupigana..
pengine hakuna lolote ni hisia zako tu....
 
Nahisi kilichotokea hapa ni kwamba walikumbatiana tu halafu ikatokea ajali wakajikuta wanaanguka kama wanavyoonekana! Hakuna lolote la kustaajabisha hapa!
 
ukiwa na homophobia
utajikuta hata mtu akikugusa hivi labda
kwenye daladala au foleni ya luku hivi
au kwenye kikapu unataka kupigana..
pengine hakuna lolote ni hisia zako tu....

Unajua kwa mfano bongo ni kawaida kwa wanaume kushikana mikono huku wanaongea.....unyamwezini ukifanya hivyo utaonwa wewe ni gay
 
I hope hawatawaza hilo kumbato zaidi ya hapo!!..Naamini furaha za ushindi hizo!!Ab-T una macho,sijui umeibamba wapi,lol.
 
Back
Top Bottom