Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,978
Ndo mana nimekuuliza wale waliohama bila shida kwani wamepangiwa wapi?Wewe umesema wanapangiwa maeneo, ndiyo nimeuliza wamepangiwa wapi ?
Hakuna cha Maandamano andamana Basi uone....ujenge katikati ya barabara uanzishe uasi?? Hilo halipo..Anzisheni Uasi muone.Mama pia awe makini maana hawahawa ndio wanaweza wakaanzisha maandamano ya kumtoa madarakani.
Na uhakika hawa jamaa wakisimama kidete, polisi hawawezi fua dafu, na hapo ndipo awamu ya sita tutaanza kuona mapichapicha ya ajabu.
Ustaraabu ufuatwe.
Kama mwenyekiti kakimbia fimbo za askari mimi ni nani? Wa kuanzisha maandamano 😅😅Hakuna cha Maandamano andamana Basi uone....ujenge katikati ya barabara uanzishe uasi?? Hilo halipo..Anzisheni Uasi muone.
Unashauri nini kifanyike ?Hili linaweza kutokea...tusipokuwa waangalifu tunatengeneza adui asiyekuwepo. Kuua nzi kwa gobole si uhodari na kuua sisimizi kwa bomu si ushujaa. Hatujalifikiria vizuri kwani tukiwalazimisha vijana wafike kwenye gema la kukata tamaa taifa litalipaaa.. tulifikirie vizuri...
Kupenda uchafu ni dalili ya umaskini.Well said Mwanakijiji, watu wanasema eti wamachinga waondoke, ukiwauliza waende wapi hatuna majibu
Tukiwauliza serikali imetenga sehemu gani ili wamachinga wakafanye hughuli zao wapate rizki hatuna majibu!
Usafi wa miji hawezi kuwa na priority kuliko matumbo ya watu!
Hata Mandela alionewa na ipo siku akachomoka.
Suala la Machinga limeshamalizwa kistaarabu, endelea na maombi yako mfuHakuna mmachinga aliyeama kwa hiyari muda wowote kitanuka ndio maana kila kona wamemwaga mapolisi.
Vibanda vinavunjwa usiku asubuhi unakuta mtaa wote msafi....machinga gani wanahama usiku wa manane.
Jazaneni ujinga tu soon mtakipata mnachokitafuta watu wana hasira sana kumnina
Ole atachomoka very soon.
Hata Mandela alionewa na ipo siku akachomoka.
Yeye ni mwanamke. Haya wewe mwanaume ingia mtaani uwatetee machinga.Kama nchi imemshinda aachie wanaume waendeshe.... sio kurembua macho tu
Hili linaweza kutokea...tusipokuwa waangalifu tunatengeneza adui asiyekuwepo. Kuua nzi kwa gobole si uhodari na kuua sisimizi kwa bomu si ushujaa. Hatujalifikiria vizuri kwani tukiwalazimisha vijana wafike kwenye gema la kukata tamaa taifa litalipaaa.. tulifikirie vizuri...
Hakuna jambo lisilofanyika kwa mipango. Hata hiyo njaaa inadhibitiwa kwa mipango sio uholela. Zama za uholela kaondoka nazo muuza vitambulisho visivyo na picha ya mmilikiWell said Mwanakijiji, watu wanasema eti wamachinga waondoke, ukiwauliza waende wapi hatuna majibu
Tukiwauliza serikali imetenga sehemu gani ili wamachinga wakafanye hughuli zao wapate rizki hatuna majibu!
Usafi wa miji hawezi kuwa na priority kuliko matumbo ya watu!
Wamachinga hawaitaji support ya yoyote kupambana wewe kaa hapo usubiri kama unafikiri haya mambo yataisha kirahisi.Yeye ni mwanamke. Haya wewe mwanaume ingia mtaani uwatetee machinga.
Yawapi hii! Mungu wangu.
What a shame mkuu.Hili linaweza kutokea...tusipokuwa waangalifu tunatengeneza adui asiyekuwepo. Kuua nzi kwa gobole si uhodari na kuua sisimizi kwa bomu si ushujaa. Hatujalifikiria vizuri kwani tukiwalazimisha vijana wafike kwenye gema la kukata tamaa taifa litalipaaa.. tulifikirie vizuri...
Ilitosha kujibu wamepangiwa wapi,Ndo mana nimekuuliza wale waliohama bila shida kwani wamepangiwa wapi?
Hao waliohama Mbona hawajalalamika kuwa Hakuna maeneo waliyopangiwa?
Nani hawajui watanzania? Wengi wanapenda ulalamishi! Hata wakiambiwa wasajili simu zao hawaendi hadi deadline ifike!
Maeneo waliyopangiwa yapo na yametangazwa fuatilia clips za Wakuu wa wilaya kama Jokate na hata Mkuu wa Mkoa Amos Makalla wametangaza hayo maeneo huko Temeke, Mbagala, ILALA, Mbezi n.k
Ulipouliza swali Mbona haukujiuliza wale waliohamisha vitu vyao bila shida wameenda wapi?Ilitosha kujibu wamepangiwa wapi,
Kama hujui wamepangiwa wapi unatulia usilete siasa za kitoto kwenye kula ya watu.
Wewe mwenyewe ulisema wamepangiwa maeneo nimekuuliza wamepangiwa wapi ?Ulipouliza swali Mbona haukujiuliza wale waliohamisha vitu vyao bila shida wameenda wapi?
Hakuna maisha yasiyo na utaratibu! Hata kwenye kula kuna utaratibu
Futilia mbali hao wapiga kuraHili linaweza kutokea...tusipokuwa waangalifu tunatengeneza adui asiyekuwepo. Kuua nzi kwa gobole si uhodari na kuua sisimizi kwa bomu si ushujaa. Hatujalifikiria vizuri kwani tukiwalazimisha vijana wafike kwenye gema la kukata tamaa taifa litalipaaa.. tulifikirie vizuri...